ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Wana bodi, naomba kufahamishwa Bana banduka ile inayopigiwa Chapuo na watangazaji wa 'Times FM ' Kina ' MISSANA ' na ' Sandy temu ' kwenye kipindi cha Pillow talk nasikia Wadada walioolewa huwa wanachangia kiasi cha fedha Kwa ' Kungwi ' ambaye huwafundisha hiyo Bana banduka!
Maswali
1. Bana banduka ni kitu gani?
2. Huwa wanafundisha nini?
3. Uhusiano wake kwenye Ndoa?
Karibuni wote!
.
Maswali
1. Bana banduka ni kitu gani?
2. Huwa wanafundisha nini?
3. Uhusiano wake kwenye Ndoa?
Karibuni wote!
.