CHEMBELLADHY
New Member
- Oct 24, 2017
- 4
- 15
SI KILA SHIDA YA MWANAMKE HUTATULIWA KWA PESA TU, JIFUNZE KUJALI ANAYOPITIA!
Si kila wakati mwanamke anapokuambia anashida basi anatafuta pesa tu, si kila wakati mwanamke akiwa na shida kweli ni lazima umpe msaada wa kifedha.
Matatizo mengi ya wanawake yanahitaji kusikilizwa kwanza, mpenzi wako au mke wako anataka mtu wa kumsikiliza, mtu wa kumuambia matatizo yake na kumpa moyo. Hakuna kiasi chochote cha pesa ambacho kinaweza kutatua matatizo yake.
#chembe_lladhy