Sababu gani zilikufanya kuoa/kuolea mapema?

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,924
122,195
Wengi sana wamekumbwa na janga la kukosa wenzi wao kwa nna moja au nyinge.

Wapo wanaopata wenzi wao haraka bila kukumbana na vikwazo vyovyote.

Wewe uliyebahatika kupata mwenzi wako haraka tujuze ni sababu zipi au mbinu zipi zilikuwezesha au kukusaidia kupata mwenzi wako haraka.
 
Back
Top Bottom