Je ni sahii kushika sim ya mpenzi wako au mmeo , mke ?


Allywizzdy

Allywizzdy

Member
Joined
May 1, 2017
Messages
24
Likes
3
Points
5
Allywizzdy

Allywizzdy

Member
Joined May 1, 2017
24 3 5
jamani wapendwa nnaswali je ni sahii kushika sim ya mpenzi wako au mke wako mda wowote upo ihitaji?
5d57c61666ed2a5ee840a0d9fc8da405.jpg
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
20,860
Likes
30,798
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
20,860 30,798 280
Ww unaonaje?!
 
Allywizzdy

Allywizzdy

Member
Joined
May 1, 2017
Messages
24
Likes
3
Points
5
Allywizzdy

Allywizzdy

Member
Joined May 1, 2017
24 3 5
Ndo maana nimeulizA naonaje nn sasa
 
mkuzi

mkuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Messages
1,446
Likes
697
Points
280
mkuzi

mkuzi

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2013
1,446 697 280
ikiwa kumwekea kwenye charger sawa
 
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Messages
4,322
Likes
4,167
Points
280
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2017
4,322 4,167 280
Kama unashika hadi sehem zake za siri, sembuse simu!!?
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
20,860
Likes
30,798
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
20,860 30,798 280
Na ndo maana nimeuliza ningekuwa na wazo ningeshaa jijibu person
Kwahiyo swala dogo kama hili umeahindwa kulipayia ufumbuzi umeona uje kuweka uzi halaf ukae kama jiwe la chumvi usubiri majibu?!
 
P

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Messages
1,126
Likes
1,165
Points
280
P

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2011
1,126 1,165 280
Uyo kwenye picha ni wewe?
 
Allywizzdy

Allywizzdy

Member
Joined
May 1, 2017
Messages
24
Likes
3
Points
5
Allywizzdy

Allywizzdy

Member
Joined May 1, 2017
24 3 5
Kwahiyo swala dogo kama hili umeahindwa kulipayia ufumbuzi umeona uje kuweka uzi halaf ukae kama jiwe la chumvi usubiri majibu?!
Unaonaje ukikaa left I don't need u round here
 

Forum statistics

Threads 1,213,798
Members 462,292
Posts 28,490,389