Samwel Meleka
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 602
- 268
Habari kwenu wana MMU.
Kama utangulizi ulivyoanza,naombeni ushauri wenu katika masaibu yanayoendelea kunifanya nijione kichaaa.
Wakuu mimi nimeoa yapata miaka 3 sasa ya ndoa ambayo tulifunga kanisani na mke wangu
Mwenyezi Mungu katujalia mtoto mmoja.
Hitaji langu kwenu ni.
Ndoa yangu imekua mzigo mzito hivyo niko tayari kuivunjilia mbali,Iko hivi
Nilikutana kwa Mara ya kwanza na mke wangu mwaka 2011 katka harakati za kutafuta riziki,wakati huo.mimi nilikua Nina mchumba ambae tuliahidiana kuoana na ndie alikua chaguo langu,kipindi hicho mchumba wangu alikua ansoma Kampala.
Hivyo nilipokutana na huyu mke wangu kwa sasa nilichukulia kama kipozeo tu wala hakua future yangu pengne hata yeye.
Baada ya mapenzi kukolea akaamua aache kazi alikokua akifanya ilikua nje kidogo ya mji akaamua atafute kazi mjini na akapata.
Baadae alahamia kwangu kwa lengo la kujipanga ili mwsho ahamie kwake.
Nilipokutana nae Mara ya kwanza aliniambia yupo single na alikua ameachana na mchumba wake kisa alisalitiwa jamaa alizaa nje na manzi mwingne hivyo akaamua akae pemben.
Siku zilisonga mapenzi yetu yalikua hot kila mmoja alifurahia uhusiano huu tatzo kubwa nililogundua kwake alikua anapenda saana mawasiliano na wanaume tofauti,nikamuuliza kulikoni akanambia kampeni yake ni he hivyo hapendi story na wadada,hivyo nikasikilizia.
Baadae nikagundua ana mawasiliano na huyu ex wake nikamwambia akiwa na mm achague ama mimi au aende kwa ex wake,akaniomba msamaha yakaisha maisha yakasonga.
Baada ya mwaka huyu dada alishika mimba yangu kipindi hicho sijawahi kumwambia kama nina mchumba.
Kwa sababu alinivutia na aina ya maisha niliopitia niliamua nimwambie kua nina mchumba lakn kwa sababu wewe nakupenda kwa sasa sina budi kumwacha mchumba ili wewe uwe now wangu,jambo hili alilipokea kwa mikono miwili.
Baada ya hapo tukaenda ukweni kujitambulisha akiwa na mimba ya miezi 3,baadae wazazi wangu walipeleka mahari.
Maisha ya mke na mme yakaanza,tukakubaliana akijifungua tutafunga ndoa.
Mwana 2014 maandalizi ya ndoa yakaanza.
Kabla ya mtoto kuzaliwa,siku moja ilikua Christmas mchumba wangu alikuja bila taarifa kwa sababu nilikua sijamwambia kama nimeamua kuoa mtu mwingne.
Alikua anapafahamu kazini kwangu hivyo alikuja direct kazin,nilionesha kutoshtuka wakati huo moyoni nikiwa na wakati mgumu sana nlipata shida saana siku hiyo maana huyu ndio alikua mke wa ndoto zangu na ambae nilimtoa uschana wake.
Baaada ya kazi nilimpitisha hotel kula baadae nikaenda kulipia rum nikamwambia home yupo mama hivyo nitarudi baadae tuongee.
Nilipofika nyumban mke wangu aliniandalia chakula baada ya hapo nikamwambia nataka kwenda mpirani ,sio kawaida yake kuweka kipingamizi siku hio alisema twende wote,nlivomuona yupo serious kwenda na mm niliamua kuahirisha kwenda mpirani,tukalala wakati huo mchumba yupo hotel ananisubiri hajui hili wala lile. Ilipofika saa6 za usiku mchumba akaanza kupiga simu ambayo sikupokea kwa kuheshimu nilienae, kumbe aliona kama kuna simu inapigwa na kwa nn spokei simu ile,
Asubuhi mke akaniambia anaomba simu yangu nikampa akaangalia akaniuliza nani alikua anapiga simu? Wakati huo akapiga akapokelewa na mchumba wangu,walitukanana kwenye simu saana,wife alikasirika saana,akachukua simu zangu akavunja zote simu 2,nilikasika saana kwa kitendo kile nikampa kipigo cha haja baada ya hapo nikampa ukweli wa mambo. Nikamwambia kwa sasa nafasi anayo yeye na si mwingne.
Baadae nilimpigia simu mchumba wangu nikamwambia,kua nimemkosea na nimemsalti nimeshindwa kutimiza ahadi kuu tuliopanga na uchumba wetu ulikua na miaka 7,nikamwambia kuoana mimi na yeye haukua mpango wa Mungu hivyo anisamehe na na aendeleee na maisha yake hivyo nafasi yake kwangu haipo tena,alilia saana na akalaani saana,huku akijiapiza yupo tayari kua mke wa pili nami nikakataa.baadae akanielewa akashika 50 zake.
Upande wa pili mipango ya harusi yetu ikaanza baada ya mke kujifungua.
Mtoto alipofikisha miezi5 mwenendo wa mke wangu ukawa mbovu saana,kila Leo namkamata na mchepuko ukiblock baada ya miezi unakuta anamwingne anakuomba msamaha na wazazi wake wanasuluhisha maisha yanaendelea,
Mwezi wa 4 mwaka 2014 nikaamua nimpeleke rasmi kumtambulisha kwetu wakati huo ana mtoto wangu tayari na ndoa tukiwa tumepanga kufunga mwezi wa 10 mwaka huo.
Safari ikawadia tukaenda mpaka kwetu tulipokelewa vizuri sherehe na shamla zikiendelea,usiku huo ulikua mchungu saana kwangu.
Nilitangulia kulala kwenye mida ya saa3 usiku baadae nae alifuata,lisaa limoja baadae,akiwa kitandani akiamini nimesinzia,Simu yake iliita akipigiwa na mwanaume waliongea karibu nusu saa story nyingi za mapenzi ambayo ni hot saana,mpak a ikafikia simu yake ikakata moto akabadili line kwenye simu yangu akaongea mengi akiamni nimesinzia kitanda kimoja na mimi.
Nililia saaana muda ule kifua kikiwa kimejaa nikihisi harufu ya damu,nilitaman nimuue, nikajikaza kwanza tupo ugenini tena nyumbani kwetu,nisingeeleweka zaidi ya kuambiwa labda nimemtoa kafara mwanaume nilijikaza,nikaamuka nikamuuliza kwa nn amefanya vile,akanijibu kua ulikua utani tu.bhasi nikajifanya mjinga.nikasemehe kutoka moyoni,tulivorudi mjini nilimtafuta jamaa nikamjua nikapanga nitamalizana nae.
Baada ya siku 3 kurudi kwetu jion moja tukiwa tunatoka dukan kwangu na huyu manzi huyu jamaa yake akapiga simu,akampokelea na akamwambia tutaongea baadae.!!
Tulipofika ndani wife akawabize na simu na yule jaama,nilikasirika mbaya.
Nikampa kipigo cha mbwa mwizi nikamwambia mipango ya ndoa nafutlia mbali siwezi kufunga ndoa mke wa aina ile.
Baada ya muda wazazi waliniomba saana pamoja na yeye nimsamhe nikakubali mipango ya harusi ikaendelea hatimae mimi na yeye tukafunga ndoa takatifu kanisani.!
Tulipofunga ndoa niliamni sasa atabadilika kwa sababu ni mke rasmi kumbe nilijidanganya.
Baada kama ya mwezi nilimbamba na mchepuko mpya.
Jamaa yule nivombana akafunguka na akanipa pole akanambia kwa kipindi chote alichokua na mke wangu hakuwahi kumwambia kua kaolewa na.wala hajawahi kumwona akiwa na pete za ndo,na ukweli huu kua mke wangu hua anavaa Pete Mara asivae ukimwuliza hakupi jibu,yule jamaa nilimweka kweny 12 nikamwambia anisaidie kazi moja asipofanya hivo nitamwondoa dunian jamaa akakubali.
Nliamua jamaa awe.shahidi kwa ndgu maana ilionekana nina msingizia.
Hivyo mbele za ndgu nikamwita jamaa na akaja kusema ukweli wote.ilikua aibu sana lakn sikua na jinsi nilitaka wajilijishe.
Nikaamua kuvunja ndoa,akaniomba msamaha saaana pamoja na ndg,nikamuuliza kwa nini anafanya hivo akajibu eti alipokua mjamzito nilimsalti saana analipa kisasi!!na kingne eti namwacha mpweke.
Ukweli nilikua najitahidi kufanya kila zuri,na kumtoa out na vingne vyote ikiwemo mahitaji ya lazma.
Tabia ya kubadili mabwana hajaiacha mpaka sasa na hua anawambia hajaolewa..na ni primitive saaana.na msiri saaana.
Kibaya saana siku ziliposonga tendo la ndoa mpaka nibake tena kwa shida pengne baada ya wiki 2 yote haya navumilia mke wangu tangu nifunge nae ndoa hajawahi kuniandalia nguo za kuvaa,iwe kunyosha nguo zangu,hawezi kuniandalia chakula zaidi nitakikuta jikoni,nguo zangu zinafuliwa na wafanyakzi,pili upande wa ndugu hapendi ndugu zangu,ila kwangu tunaishi na mdogo wake bila shida,kwa haya na mengne mengi,niko hatua za mwisho kuifutlia mbali hii ndoa,sioni furaha ya ndoa, sioni faida ya kuoa,bora nilivokua single,natoa matumizi kama kawaida kila siku ijayo kwa Mungu.
Nimevumilia imetosha kwa umri wa miaka30 naishi ndoa ya.hivi itakuaje nikifika 45 wakuu.
Wanaume wenzangu na wanawake naombeni mawazo niko katikati ya moto mkali naombeni msaada wenu.
Nb;hatua za kukamilisha hili nimeamza mambo yafuatayo napoandika haya ndio naingia ndani,sioni sababu ya kurudi mapema tena,pili sili tena chakula nyumbani,nitalala kitanda na shuka yangu tangu sasa mapaka nitakachoamua.
wasilisha.