Ndugu zangu wenye kipato kidogo kama mimi nawashauri mvute watoto wa uswazi aisee.
Miezi kama miwili nimevuta kitoto cha uswazi apa geto yani adi raha hakina gharama ata kidogo na papuchi yake...
Hivi kwa nini unapokuwa na mazungumzo ya kazi/kijamii na Mwanamama au mwanadada aliyeolewa na kuvaa Pete, Mara nyingi mkiwa mnaongea utakuta anashikashika Pete yake. Hii huwa ina maana Gani? Kwa...
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?
Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
hello girls!!! Mimi ni mwanaume wa miaka 33,nimeajiriwa,msomi wa degree ya pili,smart,medium sized body,mstaarabu.Natafuta msichana ambaye atakuwa mke wangu!, awe na mwonekano mzuri,tabia...
Wadau,
Katika maisha huwa tunakutana na mengi sana, nakumbuka miaka flani hivi nlikutana na mdada maeneo ya Morogoro.
Shughuli ilikuwa pevu maana shuka ilihamia katikati ya kitanda, fujo zake...
Mke wangu Mtarajiwa Mama Fulani Mimi Najua Hutumii Huu Mtandao wa JF, Lakini Hizi ni hisia za dhati na za Kweli Kutoka Kwa Mimi Mwanaume Wako Unaeniamini!
Kwanza Kabisa Nakuombea Kwa Mwenyezi...
katika pitapita zangu wale wadada wanaojifanya wana misimamo wanapozalishwa na wanaume na kuachwa alone huwa wanajishusha chini na inakuwa rahis na kupinga sound ya kawaida na kuchukua mzingo,ila...
Wakuu,
Nina rafiki yangu yupo Hongkong,
Katika mazungumzo yetu ya hapa na pale mwanzoni mwa mwaka nilimpa wazo langu la kutaka kuanzisha maabara ya kupima DNA ili kusaidia uboreshaji wa ile...
Nimekopa fedha kwa ajili ya mahari kutoka PRIDE ya kulipa kwa wazazi wa mpenzi wangu na tumeshapeleka kwa wazazi wa msichana
Cha kushangaza binti anasema ameshapata chaguo lake...Mimi sio type...
Aman kwenu wakuu
Ninaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati...
1.Kuna uwezekano mkubwa tusifanye harusi, tutaenda kanisani tu kufunga ndoa yetu then shughuli nyingine za maendeleo zitaendelea kama kawaida, ikitokea bahati mbaya tukafanya harusi basi gharama...
Sijui niseme ni utamaduni au nini
Kuna watu hawawezi kufanya mapenzi kukiwa na mwanga. Hata pale kunapokuwa na usalama wa kutokuwa na uwezekano wa kupigwa chabo ni lazima mzime taa au mjigubike...
Hili ni jambo la muda sana lakini wacha tu niliteketeze hapa..
Hakika hawa wadada mnaowaacha na watoto wenu wa kiume,huwa wanawatenda vibaya sana hawa watoto kwa kuwalazimisha kufanya nao...
Kuna dada ana age ya 22 yupo kwenye relationship na mwanaume kama miezi 3 saizi tatizo limeanza baada ya yeye kuwa mbali kama 3weeks hivi.
Anahisi anamwanamke zaidi yangu kwasababu hata namna ya...
Mwenzangu IS IT JUST ME AU NDO GAME LIMECHANGE SIKU HIZI? Au ndo nimeshakuwa mbuzi mzee bila taarifa? Naaaaaaah! Wanaume mnakoelekea siko. SIKO SIKO KABISAAAAA! Whats up with the NEO COLONIALISM...
Niwape tu mbinu kidogo za kuwamega hawa maduu wanaojifanya wasumbufu.
Kwanza kabisa ukitongoza msichana na unajua kabisa ana zile fiksi nyingi basi usilaze damu ukamuacha mpaka akuzoee kabisa...
Ninamchumba/mpenzi tulikua katika maongezi nikamuomba aniongezee mtaji, nina kiduka cha nguo sasa basi mwisho wa mwezi kaniletea laki 1 kama mtaji.
Ajabu yaani any time akitaka kuja anakula na...
Unapokuwa kwenye matatizo au magomvi na chuki na mwenza wako usiamue kwa haraka kusema kwa ndugu zako maana wao mara wasikiapo huchukua upande wako na kujenga hisia za chuki kwa mwenza wako...
Habari zenu,
Nimekuja kwenu . Nimechoshwa na upweke.
Mimi ni msichana wa 27years, natafuta mchumba ambae atakuwa serious kuwa na familia na si kupotezeana mda.
Sifa zake;
Awe na miaka kuanzia...
Hamjambo wana JF,
Mimi ni mgeni kidogo hapa na nina jambo la mda mrefu linanisumbua.
Hadi sasa hivi sielewi niamue nini. Kibayolojia nina jinsia mbili.Ila phenotype (kimtazamo) ni kama mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.