Ukikutana na mwanamke huyu utafanyaje?

Ukikutana na mwanamke huyu utafanyaje?

MAPOUDA

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
446
Reaction score
296
Leo katika pita pita zangu mtaani kama kawaida simba hakosi malisho si ndio nikamuona swala kanona ile mbaya kanawiri na kapendeza vibaya mzee simba akaanza kunyatia taratibu taratibu.

Nikamuuliza bwana swahiba chui vipi huyo swala anapatikana wapi si ndo chui akaniambia mtaa ule pale wa Serengeti nikaona sio issue sana simba akatafuta mawasiliano akayapata.

Bila uwoga simba akapigia simu swala nakujitambulisha kuwa anatokea Ngorongoro swala akajibu sawa shida nini, simba akasema nataka tuwe tule fungate. Swala akajibu nina mtu hapo hapo simba akauliza inakuwaje sasa? Ndio swala akajibu KAZI KWAKO UKIAMUA KUSUKA AU KUNYOA NI SAWA NI WEWE KISU CHAKO SASA HAPO SIMBA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE HAPO?
 
Simba umeshapewa green light na bado unajiuliza.? Kamalize game man ,si umeanza mwenyewe?
 
Leo katika pita pita zangu mtaani kama kawaida simba hakosi malisho si ndio nikamuona swala kanona ile mbaya kanawili na kapendeza vibaya mzee simba akaanza kunyatia taratibu taratibu.
Nikamuuliza bwana swahiba chui vp Huyo swala anapatikana wapi si ndo chui akaniambia mtaa ule pale wa Serengeti nikaona sio issue sana simba akatafuta mawasiliano akayapata.
Bila uwoga simba akapigia simu swala nakujitambulisha kuwa anatokea ngorongoro swala akajibu sawa shida nin,simba akasema nataka tuwe tule fungate.swala akajibu Nina MTU hapo hapo simba akauliza inakuwaje sasa? Ndio swala akajibu KAZI KWAKO UKIAMUA KUSUKA AU KUNYOA NI SAWA NI WEWE KISU CHAKO SASA HAPO SIMBA ANAOMBA USHAURI AFANYAJE HAPO
Simba zezeta huyo
 
Simba gani umejitahidi...taa imewaka unauliza umma kwamba umulike ama uache? Taa uliitafuta ya nini sasa? Pambana na hali yako
 
We simba wa maonyesho huna meno wala kucha,tulia wenye meno watafune nyama
 
Bange

Back
Top Bottom