realy? congratulationI have met my soul mate at last.
Thank you.realy? congratulation
I think mine hayupo duniani.wapo wanaonitamani tu nimechoka kuishi kwa ajili ya kufurahisha watu.nimequite kabisa mapenzi.Thank you.
Soulmate Ni mtu ambaye Ni best friend na romantic partner .Hutamani kuwa na mtu mwingine zaidi ya partner wakoHivi viumbe vya bongo ni kuvila tu, hayo ma soul mate ni mapenzi ya kifilipino tu
Two of you just clicks, each one of you can't get enough of each other, you just part for work and when he is on break he will send you a text to see how are doing, life becomes heaven on earth.What are the signs that this is a real soul mate? How would you feellike? King or queen!
Muombe Mungu utakutana nae tu.I think mine hayupo duniani.wapo wanaonitamani tu nimechoka kuishi kwa ajili ya kufurahisha watu.nimequite kabisa mapenzi.
yaaani mtu ambae mnapendaaana ,kila kitu mnaendana yaani siku ya kwanza tu kuonana mlipendanaWhat are the signs that this is a real soul mate? How would you feellike? King or queen!
maybe .sasa hivi nafocus kutafuta pesa .kuwatunza wazazi na ndugu zangu baadhi wasiojiweza .na mimi kuishi vizuriMuombe Mungu utakutana nae tu.
Mkuu umeeleza vizuri sana na umenigusa, ila kwa mazingira ya wanawake wa Tz wanaowaza mfuko zaidi kuliko mapenzi ya kweli, mtu yuko radhi awe na soul mate mzee mwenye makinikia ya kutoshaSoulmate Ni mtu ambaye Ni best friend na romantic partner .Hutamani kuwa na mtu mwingine zaidi ya partner wako