Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,569
- 16,361
Nilikutana na madem wawili wanauza bidhaa flani, baada ya kununua zile bidhaa na kuvutiwa nazo nikamuomba dem mmoja namba ili nikihitaji hiyo bidhaa aniletee. Sasa nilipoomba namba kumbe wale madem walikuwa ni ndugu (dada na mdogo wake) ila yule mdogo akaropoka *chukua yangu* basi nikachukua. Baadae baada ya siku kadhaa nikamsaundisha! Tumefika faragha ananiuliza kwahiyo ungechukua namba ya dada ndio ungekuwa naye sasa hivi ?? Yaan kaniboa sana yule manzi.
NB: Madem kama huna cha kuongea bora u-mute tuu.
NB: Madem kama huna cha kuongea bora u-mute tuu.