Natarajia kupata mtoto wa kiume

Natarajia kupata mtoto wa kiume

Under30

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
218
Reaction score
656
Kiukweli nilijiandaa kichwan na majina mengi ya kike, sio kwamba sipendi wa kiume (HAPANA) ila majina mengi niliyonayo kichwani ni ya kike
Naombeni wadau majina yenye maana nzuri ya kiume,sitaki mwanangu ajutie jina nitakalompa
Dini:mkristo
 
Daud albert bashite, shika, louis kid, masha, elungata, gudume, mwekundu, Ngolo, kazi kwako kuchagua majina hayo
 
Kiukweli nilijiandaa kichwan na majina mengi ya kike, sio kwamba sipendi wa kiume (HAPANA) ila majina mengi niliyonayo kichwani ni ya kike
Naombeni wadau majina yenye maana nzuri ya kiume,sitaki mwanangu ajutie jina nitakalompa
Dini:mkristo
Yesu
 
Back
Top Bottom