Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao. Sasa tumeamua kuutoa mbele ya Watanzania! Kama hujui hesabu hasa Probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Sidhani kama kuna mtu kaumbiwa kupenda kila kitu. Na kila mtu naamini anakasoro yake.. Mimi kasoro yangu ni kwa wadada wafupi. hata uwe mzuri kiasi gani, ukiwa mfupi tu! baasi!! nitakuchukulia...
1 Reactions
120 Replies
11K Views
Habari zenu ndugu wa JF, kawaida sipendi kuanzisha nyuzi mara kwa mara humu jukwaani ila ninapoanzisha inakua maji yamefika shingoni. Niende direct kwenye sababu ilionifanya nikafungua uzi huu...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Jamani nimestushwa na suala hili sana. Kilomita zangu za umri zimesonga sana. Ktk kuperuzi mitandaoni juzi nimechat na mshikaji wangu mmoja akaniuliza "wewe jamaa una nini wewe?". Nikamuuliza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari za jioni wanaJF. Hii hali ya kijana kuajiriwa katika ofisi Fulani, ukiwa bado mpya kwenye ajira ukiwa na ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya inafahamika kwamba lazima utafanya kazi kwa...
0 Reactions
9 Replies
902 Views
Wadau mimi nilizaliwa nje ya ndoa miaka hiyo,baba yangu mzazi na mama yangu wa kambo kwa pamoja hawakupenda hata kuniona,nimelelewa na mama mpk nilipopata akili,nilikuwa nikinyanyua simu kumpigia...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Mm nimeoa mke mwaka mmoja sasa. Nilimuoa binti wa Kikristo baada ya kuridhiana nae ikabidi abadili dini na kuwa muislam. Sasa Tatizo ninalo lipata ni kuwa nimegundua huyu binti...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu habari za muda huu! Pasi na shaka tumeamka salama kabisa..Muda si mrefu nilikuwa napata breakfast...Miongoni mwa vyakula nilivyokuwa nala TENDE zilikuwemo...Lkn baada nikaja kugundua hii...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Hello guys Naposema "marafiki" i mean 5 people whom u are mostly surrounded with a)Nilijifunza kuwa usiwaambie marafiki zako how much money u have in your bank account haijalishi una pesa...
15 Reactions
38 Replies
5K Views
Binti anapewa wosia kabla ya kwenda mjini kufanya kazi za ndani Asha umepata bahati ya kwenda mjini sasa lazima utubadilishie maisha wazaz wako hucpofanya tunayokuambia utaishia kurud kijiji...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na...
20 Reactions
163 Replies
23K Views
Wakuu vipi mambo, Nataka ushauri jamani, mpenzi wangu kakataa kuja kukaa na mimi kwa sababu nimehamia karibu na wazazi wangu kukataa kwake hakuna sababu yoyote ile sababu zake hazingii akilini...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
napiga moja tu basi kwanini?
2 Reactions
64 Replies
9K Views
Habari wakuu, Hakika napitia katika wakati mgumu kwa sasa, nimekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke niliyekutana naye chuo tangu mwaka wa kwanza hadi tukamaliza chuo huku mapenzi yakiwa...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
Kuna kitu nimekifanyia uchunguzi mara nyingi ni kuhusu hizi sherehe za msimu wa krismas christmas festival or carol wenzetu wanigeria wanaondoa udhehebu wanaungana wakristo wootee na kufanya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kuuliza jmn ,hivi na haki kweli kuwa na demokrasia ktk suala la mahusiano, yaan mwanaume na mwanamke kuwa na haki sawa? ..mm binafsi kwa sasa naona sio sawa kabisa ,niliwah kuweka haki sawa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wageni wengine wanakuwa na matatizo kweli, Alikuja kutoka mkoani eti kusoma twisheni, mtoto wa ndugu yangu wa kike, yupo A level, ananitumia msg kila mara mara oooh umekula, mara leo umependeza...
41 Reactions
100 Replies
10K Views
Kuna wanawake wameenda shule na wana degree lakini utakuta Ana akili Ndogo utadhani ameishia darasa la saba!wazazi tuangalie watoto wa kuwasomesha maana wengine ni kufua tu pesa hamna cha maana
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, urefu cm175, rangi maji yakunde. Siamini saana juu ya dini but naamini kuna muumba wa vyote. Kabila langu ukinipm utafahamu. Nimeshaambiwa na wasichana...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Una mpenzi wako mnapendana saana, ikatokea kuna Jambo likawatenganisha labda kwa mwaka Mmoja! na simu yake haitopatikana na Hakuna Mawasiliano labda! Basi kwa huo mwaka mmoja wewe Mapenzi...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…