Watu wengine wanajitakia kutatuliwa malinda.

Watu wengine wanajitakia kutatuliwa malinda.

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,937
Reaction score
8,358
Inakuwaje mtu unalewa mpaka unaenda toilet lakini unarudi kukaa unasahau hata meza uliyokuwa umekaa!!?
Hao si ndo wale wanaolala mtaroni!!? Hao si ndo wanaopasuliwa yai matakoni kweli!!?
Jamani sio lazima wote tunywe pombe, wengine mgebaki kwenye soda tu.

Ahsante.
 
teh teh teh wenzako wanakuja[emoji3][emoji3]
 
teh teh teh wenzako wanakuja[emoji3][emoji3]
 
Hata kwetu wapo!
Starehe yake inakuwa kero kwa wengine!acha wapigwe jeki tu hakuna jinsi
 
Wapi imetokea hiyo inaelekea una habari nyeti ila umeiweka too general
 
ukiona hivyo ujue anakunywa pombe za offer toka kwa mshlaji wake
 
Watu wa balimi ndo wanatuabisha wanaume

Cc wa cocktail wala, wine kama kawa hatusahau kwenda nyumban kulala, wala shughuli zozote

Onyo:
Unywaji wa pombe bei rahc n hatar kwa afya yako
 
Back
Top Bottom