Wanawake Wa siku hizi wanataka haki sawa... Wanataka usawa Wa 50% ndani ya ndoa ..DAWA YAO HII APA

Tumeacha misingi ya dini ndio maana kila kitu kinaenda shaghala bagala..

mwanamke asili yake ni kukaa nyumbani kulea watoto,mwanaumebakatafute ahudumie familia..

tatizo wanaume zetu wa kiafrica mkishapata mbili tatu unataka uwe mwnyi!!mke umfanyie kila aina ya hila,nani atakubali?! na ndio maana siku hzi tunabanana maoffisini..
 
inasemekana maendeleo na elimu yakishimiri ulimwenguni husababisha ugonjwa huo !!!! bisheni kama mnaweza ???!!?
 
Tumeacha misingi ya dini ndio maana kila kitu kinaenda shaghala bagala..

mwanamke asili yake ni kukaa nyumbani kulea watoto,mwanaumebakatafute ahudumie familia..

tatizo wanaume zetu wa kiafrica mkishapata mbili tatu unataka uwe mwnyi!!mke umfanyie kila aina ya hila,nani atakubali?! na ndio maana siku hzi tunabanana maoffisini..
well said
 
Maisha sio ligi tuondolee uzamani wako cc@mama sabrina
 
Tumeacha misingi ya dini ndio maana kila kitu kinaenda shaghala bagala..

mwanamke asili yake ni kukaa nyumbani kulea watoto,mwanaumebakatafute ahudumie familia..

tatizo wanaume zetu wa kiafrica mkishapata mbili tatu unataka uwe mwnyi!!mke umfanyie kila aina ya hila,nani atakubali?! na ndio maana siku hzi tunabanana maoffisini..
Kubanana maofisini hatukatai ....tunacho kitaka ni heshima.....ukijiona unataka haki sawa basi na ww acha kodi ya meza 50% na mengine kibao
 
Duuuhhh afanye kazi ,asifanye kazi mipaka yake namajukumu yake km mke lazima yabakia ivo ivo ....Kinyume nahapo IPO siku ataondoka yeye nakazi yake na nguo zake ..

Nitabaki kua Kichwa cha familia ,,atabaki kua msaidizi .
 
Mleta mada usilaumu sana wanawake wa siku hizi haswa hawa wa Dar. Unajuwa wanaume wengi wa Dar ni tata, yaani wamefikia hatua mpaka dada zao wanashindwa kuwaelewa. Utakuta kijana/mtu anajifanya kuwa lijali kumbe akitoka nyumbani anakwenda kuvaa shanga kiunoni na khanga kumvalia mwanamme mwenzake kisha wanatoka kwenda kuangalia taarab ama bongo fleva. Wacha dada zao walalamike na kudai haki sawa ikiwa hali yenyewe ndo kama hivi.
 
Back
Top Bottom