Hivi kwamba mnakuwa busy sana mpaka mnashindwa kukwetua nyasi zetu huko mafichoni? Unakuta bidada akitoa pichu yake, unaweza dhani kiota cha ndege, mbaya zaidi utasikia eti suck me baby' ooh...
Hii inatokea sana kama mume ni mtoto wa kwanza, wa mwisho au mtoto pekee wa kiume. Unaolewa unaanza maisha ukiwa kwa wakwe. Mnapewa chumba chenu na mama mkwe ndiyo mother house.
Unahitaji busara...
Habari wana JF Leo naleta mrejesho wangu juu ya aliyekuwa mchumba wangu niliyemtolea mahari akazidisha kejeli , kiburi na madharau
Wakati naleta Uzi huu nilikuwa wilaya nyingine tofauti na wilaya...
Ndoa zimekuwa ngumu waume Na wake Wema wanapatikana kwa shida sana.Sasa kwanini humu mtu asiseme natafuta mtu ambaye ana kwake lakini angalau awe anakuja kunitimizia mahitaji ya kindoa japo...
Kwa wanaJF wasio juwa mambo mengi napenda kuwakumbusha kidogo. Nani anaikumbuka kwaya ya AIC Shinyanga?Unajua kilichowakuta waimba kwaya na baadhi ya waimini wengine?
Kama kawaida waimba kwaya...
Ikitokea nafasi ya kubaki watu 2 utamchagua yupi ubaki nae humu duniani?
NB;kama ukiona hii mada imekukera pita kushoto kinyume chake utanisababishia BAN karibuni sana
Habari zenu wandugu,
Nilikuwa na mpenzi wangu tuliependana sana wakati tunafanya kaz katika ofisi moja, kwakuwa mapenzi hayana kificho yakajulikana kutokana na kuingiza mapenzi muda wa kazi...
Hii ni thread maalumu kwaajili ya wanaume wasiohonga na ikitokea wamehonga wanahonga pesa zisizoendana na kipato chao. Wakati mwingine tunatumia njia za uongi kupata pesa kwa wanawake
Si kwamba...
Tangia nimejiunga na JF nina miaka 5 sasa JF.
Mpaka sijawahi hata kwa bahati mbaya kukutana na mwanamke mzuri humu JF
kila ninaekutana nae sio mzuri wa sura wa shepu.
Na kitu kimoja...
Tangu dunia kuumbwa mwanamke mrahisi wa kurubuniwa,karubuniwa hata na lucifa kisa tunda tu ,kwa tamaa ya fedha Delila hadi kamsaliti Samson,....wanawake ni viumbe wanaotumiwa na shetani,hawana...
Kama kichwa kinavyo jieleza,
Mpemzi wangu simu yake ilikua na shida nikaamua kumpa handset yangu ya spear. Baadaye baada ya kumtafutia simu nyingine ilibidi arudishe niliyomuazima, cha ajabu...
Girl:-
I Had Sex With 4 men And You Had Sex With 8 women,
But Everybody Calls Me Prostitute And They Call You A Real Man,
Please Explain Me Why ?
Boy:-
When A Lock Is Opened By Many Keys,
It...
Habari zenu wana Jamii..!
Kama tittle ya post inavyo jieleza hapo juu..
Mm nikijana wa Miaka 32
Natafuta msichana ambaye yuko serious kuanzisha maisha, ambaye amemaliza ujana na anaamini...
Baadhi Ya Viongozi Na Wawakilishi Wa Wanachama Wa Cha Wafanyakazi wa Ndan Nchin Rwanda....
( ChachaWaNdaRwa )
Wakiwa Kwenye Picha Ya Pamoja Mara Baada Ya Kuja Kumjulia Hari Dada Wangu Wa Kazi...
Habarini wanajamvi,
Miaka minne iliopita nilipata mpenzi ambaye tulipendana sana nakuaminiana pia, mapenzi yaliendelea vizuri na yalinoga kadri siku zinavyo jongea, yule mdada alikuwa anakaa...
Habari zenu ndg ! natafuta mwanamke wa kuoa umri kuanzia miaka 23 na kuendelea sichagui dini wala kabila ila lazima awe mikoa ya mwanza mara shy na dodoma hata uwe na mtt usiogope nafanya kazi...
Ukweli usiopingika kuhusu binadamu .Binadamu tunapitia vupindi Vingi kwenye maisha yetu lakini kuna vipindi huwa ni vigumu hata kuelezeka kipindi cha kufiwa huwa kinauma sana hasa unapofiwa na MTU...
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo!!
Kuna tatizo ambalo mara nyingi sana tumekuwa tukidiscuss sisi mabachelor bila kupata majibu yanayoakisi uhalisia wa tatizo. Labda tuanzie hapa, binafsi...
This song right here...is a timeless classic! One of the greatest love songs ever, in my book.
She hit it out of the ballpark with it. It never gets old to my ears.
Enjoy y’all.