Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, Najitokeza kutafuta mwanamke ,awe mchumba later awe mke. -Nina miaka 27 -yeye awe na 27 kurudi nyuma -awe na elimu kuanzia na diploma -dini awe muislamu. Aliye tayari ani pm.
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Nipashe imebaini kuwa kwa sehemu kubwa, wazazi waliotengana watoto wakibaki kuishi na mzazi mmoja, ama mama au baba, janga hilo huijitokeza. Ni hatua na mazingira ambayo watoto wanakosa malezi na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ingawa si wote , lakini asilimia kubwa sasa wanajisatisfy bila shida yoyote kwenye suala la mapenzi. Biashara ya zile bidhaa imekuwa common na demand yake inapanda kwa kasi, wameshazoea mahogo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka jana mwez wa 12 mara baada tu ya mahafal yangu, nilianza kuona mabadiliko hasi kwa mpenz wangu ambayo yalianza kutishia uhai wa mahusiano yangu ambayo kwa hakika niliwekeza...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Tusaidiane kidogo hapa!
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari, Najitokeza kutafuta mwanaume aliye serious,ninahitaji mume. -Nina miaka 28 -Nina mtoto mmoja -elimu degree moja(IT) -muajiriwa Aliye tayari ani pm.
11 Reactions
70 Replies
10K Views
Wanabodi Hii ni ratiba inayotakiwa kufuatwa na wake zetu kwa siku na kila siku. Asubuhi mkiamka tu hapo mwanamke anatakiwa awe kama Mama mzazi wa mume wake. Mchana, mwanamke unatakiwa uwe dada...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa mwenye uelewa mdogo atasema ni stori ya kutunga na kwenye uelewa na yaliyokwisha mkuta ataelewa nini namaanisha na kunishauri. Na mke wangu nampenda kwa dhati sana na tunaheshimiana sana Mimi...
14 Reactions
249 Replies
42K Views
Salamu wandugu, Juzi hapa niliwaletea malalamiko yangu wanaMMU namna gani ninavyoteseka nyumbani kwangu baada ya kuoa mke asiyejua kupika wali (ubweche) hadi nnajihisi kuloose weight maana ni...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakuu, Baada ya upweke wa muda mrefu nikajisemea ngoja nianze kuwinda mabinti pale Mlimani City, so nikajiwekea kautaratibu kila siku jioni lazima nipitie pale Mlimani City kuzuga huku nikiwa...
4 Reactions
72 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo ni siku ambayo nimekesha nikiwaza Ipo hivi, miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja yeye alikuwa anafanya kazi bank jirani na ofisini kwangu...
5 Reactions
95 Replies
8K Views
Ndugu zangu naomba kuwakumbusha kua ngono ni kitendo kinachofanywa na wanyama kwa lengo la kuzaliana. Hua na shangaa kusikia mtu anatafuta dawa za nguvu za kiume au mke anasema mume hamtoshelezi...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Ilianza baada ya kukutana na mwanaume na kahidiana kuoana, siku alipopelekwa ukweni alimuona kaka mkubwa anavutia zaidi. Alifanikiwa kuhamishia penzi kwa kaka yule na kufunga ndoa ya bomani...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
SEHEMU YA 01: NILIISHI maisha ya starehe. Ujana ulinikamata vilivyo. Pombe na wanawake havikunipita, walionifahamu waliniita ‘popo.’ Nilikuwa popo kweli, popo kasoro mabawa! Mchana nilifanya...
6 Reactions
165 Replies
95K Views
Ushawahi kutana na mkaka ana sifa zote yaan handsome mpaka unasema hapa nifurahishe nafsi,,anakutokea mnakuja kukubaliana siku unamvulia chupi utashangaa umeparamiwa ,kuku si kuku ,halaf maumbile...
25 Reactions
283 Replies
31K Views
Nina majina matatu mkononi,sijui lipi nimuite kijacho wangu....wa kiume Najua sauti ya wengi ni ya Mungu 1.Cairo 2.Liam 3.Ethan Lipi nichague
2 Reactions
115 Replies
22K Views
Wapendwa naomba ufafanuzi wa huu mtanziko
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Asilimia kubwa ya malalamiko huhusisha sex humu, mfano.. 1 mke wangu anachepuka na mtu fulani 2_ mume wangu hanilizishi 3_ nimezama kwenye penzi la shemeji 4_mke hajui kukata kiuno 5_mke/ mume...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumaini mu wazima humu, Nilianza mapenzi na dada mmoja nikiwa kikazi mkoani Dodoma, kiukweli huyu dada tulipendana sana alikua kichaa wa mapenzi kwa jinsi tulivyopendana alikua hasikii wala...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Habari za usiku wakuu, Nimeona nilete story hii kwenu ili wazoefu wa mambo wanisaidie kunishauri miezi kadhaa iliyopita nilifahamiana na wadada wawili mapacha ambao wanafanya kazi kwenye taasisi...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…