Kuna binti nlimpata miaka 2 imepita nikiwa masomoni huko moshi ila yeye ni mtu wa mafinga iringa.
Nlimtokea na kumtongoza akawa amenikubalia na tukaanza mahusiano rasmi. Baada ya kumaliza masomo...
Wakuu,
Hawa watu huwa ni wabaguzi wa rangi, ila si wote!Two weeks ago kuna binti mmoja alinibagua rangi kwa kuniita Negro na sababu ya kuniita ivyo ni tulipishana kauli kidogo....Sasa Baada ya...
Mwanamke ni kama bunda jipya la karata. Pindi linapokuwa jipya linakuwa dogo lenye mkusanyiko wa kadi nyingi zilizonyooka vizuri, safi zenye kuvutia zinapendeza macho na kuvutia wachezaji kiasi...
Habari zenu wadau,
Nimeamua kulileta hili si kwa lengo baya naombeni ushauri wenu maana nasikia kuumwa kichwa nimechanganyikiwa sana.
Naishi na mwanaume na tuna mtoto mmoja pia ninaujauzito...
Kama kichwa cha thread hapo naomba muwe makini na ID zinazoandika mambo yenye utata hili linawahusu wanaume sana..
Nimefanya research ndogo nimegundua kuna wanawake wanatumia ID za kiume kwa...
Kama mjuavyo leo ni Boxing Day, nipo hapa the great park tabata, kwa mdada aliyepo karibu usisite kusogea hapa nilipo tufurahi pamoja ili tufungue zawadi na kuzitumia pamoja!
Ikawa asubuhi, Ikiwa jion siku ya pili
boxing day ndo inakata hivyo...
Wakuu shimboniiii.....
Ngoja ni-share hii tabia ya wife, japo unyago unanizuia nisitoe siri za ndani.
Kwa muda sasa...
Habari za jioni ndugu zangu.
Rejea Uzi wangu wa Juzi kuhusu FGM.
Jinsi FGM imeathiri mfumo wa maisha yangu(psychologically),historia ya kweli.
I just wanted to write,to let u know how I...
[emoji121]
sasa nasema hivi,
Katika ndoa bora na zenye tija kwangu,
Ni ndoa ya mkeka.
Hii ndoa naitafuta sana,
Kwani ni nzuri sana kiuchumi,
Na huokoa muda.
Hakuna kutozana mahari nyingi...
Hapo vip!!
Dah!! Wadau hili swala la kuchunguzana kwa muda mrefu katika kipindi cha uchumba mimi naona sio.
Kwasababu nakumbuka nikiwa chuo kunawashkaji walikuwa wanaishi na mademu ghetto kwa...
Nimejaribu mara tatu nimeishia kudaganywa , baada ya kugundua indadi inaongezeka kadri siku zinavyoenda.
Hii tabia inafaida? Ikiwa mmeshaamua kua pamoja?
Habari wanajamii forum kila nikiwaza sipati jibu mbona neno hili Vibamia au kibamia limekuwa maarufu zaid zama hizi??? Hii inaashiria nini katika jamii ya kileo???
Sikuwahi kusikia mwanamke...
Habari za mapumziko ya Christmas, mara nyingi nikikaa na marafiki wa kike hata kiume katika story za mahusiano wengi wanalalamika kuachwa, kuachwa, kuachwa, wa kuacha ni wachache sana..sasa kati...
Mke wangu mpendwa kajifungua hivi punde ndugu zangu, na raha iliyoje kaniletea kidume kama maombi yangu nilivyoomba na nilikuwa na sababu kuu mbili ya kuomba hivyo,
(i) 2013/10, mpendwa huyu...
Unaweza kuta mkaka amemfatilia mwanamke mpaka mwaka mzima au hata siku moja. Baadaye bidada anaamua kwa heshima kubwa anaamua kukutunuku Tamu yake akijua utapenda zaidi na mtafika sehem.na anakupa...
Kitaalamu inaonyesha kwenye tendo la ndoa mwanamke hupata raha mara tatu juu ya mwanaume
Sasa hoja yangu ni kwa nini wanawake mnapenda kubembelezwa kwenye ulaji wenu wenyewe halafu mnataka na...
Most of guys like @Joverest balibabambonahi BAK venchwa and my sister@Evelyn Salt
along side miss chagga , Miss Natafuta knows about different stories concerned with ladiesa vieginity , am i...
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.
Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.