SIJAWAHI KUACHWA.......

SIJAWAHI KUACHWA.......

Sheilerz

Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
69
Reaction score
87
Habari za mapumziko ya Christmas, mara nyingi nikikaa na marafiki wa kike hata kiume katika story za mahusiano wengi wanalalamika kuachwa, kuachwa, kuachwa, wa kuacha ni wachache sana..sasa kati ya walioacha na mimi nipo..ila nimekuwa na mahusiano kadhaa lakini sijawahi kuachwa mimi huwa naacha tu. Na sababu zangu kuacha ni Uongo tu..mi ukinicheat sikuachi ila kudanganywa uwiiii namong'onyoka kabisa...niliowaacha wote bado wananikubali japo wameshakubaliana na hali ya kumove maana maisha lazima yaendelee..
Wewe je umeshaacha au kuachwa kwa sababi zipi? Na je bado unamkubali aliyekuacha au uliyemuacha japo maisha yako mengine yanaendelea???
 
Mi sijawahi kuacha! Wife yupo anatamba tu! Maana cna mpango wa kumuacha..afu miaka ya nyuma pia sijawahi kuachwa sababu mahusiano yangu yalibase ktk urafiki wa kizungu...mnakazana afu fresh maisha yanasonga hakuna mahusiano
 
Hata humu pia nakaribia kuachwa na dada mmoja hivi! Ngoja aje!
 
Wangekuwa wanakukubali wasingeenda kucheat
Kucheat hulka..wenye ndoa zao tu wanacheat kwani hawawakubali wake au waume zao?? Ipo ya makusudi na ipo ya kujutia..ni kawaida sana
 
Kucheat hulka..wenye ndoa zao tu wanacheat kwani hawawakubali wake au waume zao?? Ipo ya makusudi na ipo ya kujutia..ni kawaida sana

Ww hesabu mara ngap wamekucheat halaf ujiulize kwann...wenzio wenye akili wakiona mtu kacheat wanajiangalia wao wamekosea wapi

Kama kucheat ni hulka basi usingewaacha angalia sasa unajaza mwendokasi
 
Dah aisee mimi katika vitu ambavyo vinanikera katika mahusiano yangu chakwanza unicheat, uongo, nachatatu udharau kile kidogo ninachokufanyia kwamapenz yangu yaani uwezo wangu nilionao huohuo uudharau aisee huwa ninauzika sana namara nyingi huwa naachia ngazi
 
Ww hesabu mara ngap wamekucheat halaf ujiulize kwann...wenzio wenye akili wakiona mtu kacheat wanajiangalia wao wamekosea wapi

Kama kucheat ni hulka basi usingewaacha angalia sasa unajaza mwendokasi
Siachi mtu kwa kunicheat..ndio hivyo yani. Akitaka ahamie huko labda.
 
Dah aisee mimi katika vitu ambavyo vinanikera katika mahusiano yangu chakwanza unicheat, uongo, nachatatu udharau kile kidogo ninachokufanyia kwamapenz yangu yaani uwezo wangu nilionao huohuo uudharau aisee huwa ninauzika sana namara nyingi huwa naachia ngazi

Hayo mambo mawili uliyoyataja, kucheat na uongo yote kwa pamoja yanabebwa kwenye migongo ya dharau. Mwanamke anayekupenda hawezi kukusemea uongo, hawezi kukucheat...ukiona mwanamke anakudanganya mara kwa mara jua kabisa huyo ameshakudharau. Ukiona mwanamke anakucheat ujue kabisa wewe unaonekana fala tu.
 
Kwahiyo ukisema hujaachwa unakosea!
Sababu uliachishwa kunyonya hivyo hushawawi kuachishwa
 
Hujielewi. Unadhani kuachwa ni udhaifu and you are strong or better than everyone else hayawezi kukukuta.

My dear bora uachike, kwa sababu kuachika kuna sababu nyingi. Sometimes, mwanaume anaweza kukuacha kwa sababu ya heshima yake kwako na mapenzi pia.

Ameshajijua ana udhaifu flani and you are too precious to be dragged into his bullshit.
 
Sijawahi kuacha, wala kuachwa. Mimi ni mzee wa kimya kimya yani kuna yale mahusiano inapita wiki hakuna kutuma message wala kupigiana simu. Siku zinakatika hatimaye mwaka unaisha hapo kila mtu atakuwa ameshajua nini cha kufanya.
 
Back
Top Bottom