Asanteni JF members! Nimepona kwa kiasi kikubwa sana

Perri

Senior Member
Dec 16, 2017
127
198
Habari za jioni ndugu zangu.

Rejea Uzi wangu wa Juzi kuhusu FGM.
Jinsi FGM imeathiri mfumo wa maisha yangu(psychologically),historia ya kweli.

I just wanted to write,to let u know how I appreciate the positive influence mliyoisababisha katika maisha yangu tangu nilipoleta tatizo langu juzi.Thank you for ur concern and useful advice,

Your counselling helped me a lot. Nilikuwa MTU wa kulia wakati mwingine.! Nimekuwa MTU mpya sasa!

Huenda msijue ni namna gani mmenisaidia jamani!,naapa,nimebadilika kimtazamo,naona kama nimepewa nini sijui.,mmeniokoa na stress ambayo ingenitesa kwa muda mrefu kama sio maisha.

Nashukuru,mlitumia muda wenu kunishauri,kunipa experience yenu binafsi katika shida hiyo.You helped me during the most difficult time,kwanini nisishukuru kwa moyo wote!?,mmenipa maneno ya faraja sana.

Nashukuru hata JF kuwepo,sijui ningetumia njia gani kupata ushauri ambao umenipa furaha sana.!!

Nawashukuru members mliokuja pm,nawashukuru kipekee kabisa,nawashukuru sana,wengi wamenifariji na kunipa uzoefu binafsi wa changamoto iliyonihangaisha kwa kipindi cha miaka 14,hatimaye nimechukulia hili tatizo kwa wepesi!,siko mwenyewe,,na hata ningekuwa mwenyewe mmenipa moyo kwamba haibadili kitu,na sio mwisho wa kufurahi!najua mko busy!,lakini mlijitolea muda wenu hata kunitumia link niweze kusoma.

Nafikiri sijawahi kujikubali (sexually) kwa kiasi ninachojikubali sasa!
Nimepona kwa asilimia karibu 70% na naendelea kupona!

Long live jf.& jf members,

NITAWASHUKURU DAIMA.ALL IS WELL.!
 
Kuna jambo hujashauriwa, "ni jinsi gani unaweza kufurahia kujamiiana kuwazidi wenye antena"
 
Woooow that's great !!! Am very much glad kusoma na kuyasikia haya ukiyasema wewe naiman sasa unamaan and you are ready to take it to the next level
d3ef31f17767f0cb17aab1cb4535820b.jpg
dancing ,have alot of fun and enyoy your ride .BTW may you begin the new page of your life with Smile ,Joy ,peace naburudaniiiiiiii mpaka moyo uruke ruke ,,maini yacheze .
49888a86149b4628fd706274fcb8b855.jpg
Jichunge mama !!.
 
Sasa mkuu.,ushauri wako ulikuwa best,,second to none.!be blessed.
 
Pia usisahau kumshukuru Mungu sijajua wewe imani yako lakini nenda kamtolee Mungu shukrani...sio JF bali Mungu amejionesha kupitia watu maalumu ambao ulivyosoma comment zao zilikubaldlisha mtazamo wako juu ya jambo liliokua linakuketea psychological trauma.
 
Sawa mkuu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom