kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 679
Mwanamke ni kama bunda jipya la karata. Pindi linapokuwa jipya linakuwa dogo lenye mkusanyiko wa kadi nyingi zilizonyooka vizuri, safi zenye kuvutia zinapendeza macho na kuvutia wachezaji kiasi cha kupenda kuzichezea muda wote bila kuchoka.
Bunda la karata ili lidumu kwa muda mrefu katika ubora wake wa awali lazima liwe na wachezaji kwanza wachache na maalum ambao kwa kuzipenda wapo tayari kuzichezea kwa ustaarabu ili zisiharibike wala kupoteza mvuto.
Tatizo linakuja pale bunda la karata linapoanza kuchezewa na watu wengi muda si mrefu bunda linachakaa na kuvumbia kiasi cha kushindwa hata kuingia kwenye box lake lenyewe zilimotoka, zinapoteza mvuto kuzichezea tena, kadiri ya siku wachezaji wanapungua mwisho wa siku zinaishiwa kutupwa au kuwashia moto maana hazina thamani tena watu wanatafuta bunda jipya la karata na maisha yanaendelea.
Happy boxing day karibuni tucheze last card hapa.