Umekaa kwa wapi? Hebu sogea hapa karibu hii car washKaribu 40,40.
40 40 mzeee. Ila kwetu pazuri pia...dahh nimepita hapo taa taa safi saana.hahahaha jamani jamani embu tuambieni kati ya great park, bl park na 40-40 wapi kumechangamka nije upesi
ngoja nisogee hapo, vp kuna mupya au madoido coz wengine twaja kwa ajili ya maua tu na si maji40 40 mzeee. Ila kwetu pazuri pia...dahh nimepita hapo taa taa safi saana.