Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1:Mchawi,mnyekekevu na ni mpole sana 2:Mwizi,mcheshi na mkarimu sana 3:Mmbea na mwenye huruma sana 4:Mchepukaji,mmbea na mchapa kazi sana.
3 Reactions
58 Replies
4K Views
mwaka huu nimepanga kuingia kwenye ndoa,je kunafaida zipi?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wana JF, Ni miezi miwili toka niachane na huyu kaka baada ya kushindwa tabia yake. Nimeamua kumaliza mwaka huu bila kuhitaji mahusiano yeyote hadi mwaka mpya wa 2018 ndo nitaanza safari...
13 Reactions
134 Replies
11K Views
Rafiki yangu juzi amepata mtoto wa kike.Amepongezwa sana na ndugu na marafiki. Japokuwa yeye alikuwa na hamu ya kupata mtoto wa kiume. Mmoja ya hao wapongezaji alienda mbali sana akasema kaka...
7 Reactions
100 Replies
10K Views
Kwa sasa kila mtu anatamani au anatumia Smartphones,hata huku kwetu vijijini akinadada na makaka wa kishua wanatumia hizo simu tunaita simu-tanashati. Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako anaaminika au...
3 Reactions
62 Replies
11K Views
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Tahadhari ni ndefu kama huna muda usisome Mimi ni first born katika familia yetu, nakumbuka nikiwa na miaka 7,sijaanza hata elimu ya SM mama alihisi baba hanipendi ukilinganisha na mdogo wangu...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu beira sasa nimekua nahitaj waifu Nataka waifu ambaye ni mzur na mweupe na awe na inye Sasa bas wadau naomben wasifu wa...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Mama mkwe wangu ana karibia miaka hamsini. Yeye hakuwahi kuolewa maishani mwake. Tunaishi mkoa mmoja ila maeneo tofauti. Sasa ana ujauzito na kamwambia bintiye (mke wangu) kuwa ile mimba ni...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari wanajukwaa pendwa MMU Nianze kwa semi hizi za wahenga, "Heri nusu shari kuliko shari kamili" "Funika kombe mwanaharamu apite" "Majuto ni mjukuu" "Siri ya mtungi aijuaye kata" Sasa...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Shaabash, Wakuu Nawasalimu,leo Naomba Mnishaur Jambo Wakuu,ninasumbuliwa Na Tatizo La Tamaa Tena Si Za Kawaida Ni Za Kiwango Cha Juu. Yaani Akipita Dada Kavaa Kasurual, Au Nguo Inayomchora...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kama mada inavyojieleza, nipo lonely na natafuta msichana mzuri wa kutoka nae out na kubadilisana mawazo hususani ya ujasiriamali. Kwa mwenye uhitaji pia ajitokeze lakini lazima awe na uwezo wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo jioni hii napenda kuwasalimia wote kwa pamoja,kwani naamini wengi wamerudi kazini Kama kawaida,ila wengine ndio hivyo hadi tarehe tatu mwaka mpya.... SALAAMU KWENU NA MSALIMIKE kama...
0 Reactions
11 Replies
942 Views
Habari za Leo wana jf, ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa, kwa Leo naomba tuwaseme kidogo wanaume wa aina hii. Leo katika mihangaiko yangu nilienda...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu kwa muda wa wiki moja unusu nimesafiri toka Bukoba na kurudi hadi Kahama kwa miguu. Huyu binti atakua na pepo la ngono,muda wote toka aje geto anataka mchezo tu wiki moja na nusu,siku kumi...
7 Reactions
68 Replies
13K Views
Hello ladies and gents, Rejea kichwa cha habari, Nina rafiki yangu kipenzi a.k.a bestfriend siku yake ya kuzaliwa itakua tarehe 30/12, nawaza nini nimfanyie au wapi nimpeleke kwenye siku yake...
2 Reactions
153 Replies
11K Views
SEVEN DAY IN HELL -2 ILIBIDI nisogee mpaka kwenye maegesho ya bodaboda nikiamini pale itakuwa rahisi kuzungumza na dereva yeyote ili aniwahishe kabla ile ‘ambulance’ haijapotea kabisa. Nilipopiga...
1 Reactions
0 Replies
673 Views
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Nakumbuka nilishapitia mahusiano na wadada wawili, ambao kiukweli kila MTU kwa wakati wake naweza sema tulipendana sana.sasa katika maongezi ya kawaida na penzi moto moto kila mmoja kwa wakati...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom