TzComedy
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 890
- 700
Mke wangu mpendwa kajifungua hivi punde ndugu zangu, na raha iliyoje kaniletea kidume kama maombi yangu nilivyoomba na nilikuwa na sababu kuu mbili ya kuomba hivyo,
(i) 2013/10, mpendwa huyu alinidharia jike.
(ii)nilitamani aniletee beberu kama alivyofanya ili beberu hilo nimpe jina moja la mwanasiasa mkombozi halisi wa lathilimali za tz kati ya haya mawili:-
(a)Lissu.
(b)Magufuri.
Je, nimpe lipi kati ya hayo ndugu zangu?