Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani wanawke wa jf mkuje mseme ni kweli kuwa kibamialism kinaweza mkuta yeyote mnene, mfupi, mrefu, mwembamba tupeni uzoefu wadada *Note* Mada haina lengo la kukashifu coz Mungu aliumba watu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
nilimpenda nilimpenda upeo! alikuwa mrembo haswa mjukuu wa hawa mweupe si mweupe mweusi sio mweusi rangi yake chocolate tabasamu nzuri la kumponya mgonjwa macho makubwa ya kimahaba mithili...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajamvi nawasalimu sana, natumaini wu wazima wa afya na mmepokea mwaka mpya kwa furaha na amani tuzidi kupambana na hali zetu kwa mwaka huu mpya na Mungu atupe wepesi. Great thinkers wenzangu...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
According to Dr. Mitimingi 1. Usijilishe upepo kwa kuendelea kutafuta mke/mume mwema kupitia mitandaoni, Wengi wamevuna maumivu. Mtu anapofikia hatua ya kutafuta mchumba mitandaoni tayari...
1 Reactions
2 Replies
900 Views
Kisa kiko hivi, unakuta unamahusiano ya kimapenzi na binti Fulani lakini baada ya mda wewe mwanaume unaamua kupotezea,na kutomjari baada ya kuwa umeshatembea naye.halafu baada ya siku kadhaa Huyo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanaume wenzangu mbinu hii! Ni hiviii.... Ukigombana na mke wako na akawa ni mwenye kiburi na mwisho wa siku akakununia hata kuongea na wewe hataki, usipaniki sana Fanya hivi: Kaza mfuniko wa...
15 Reactions
21 Replies
3K Views
Mmoja ndani ya video anasema inabidi wajazie ili wapate mvuto wanapopita wanaume wakodoe maoni yao haya. Mmoja anasema napenda nikipita waangalie na natamani waangalie msambwanda. Mwingine...
3 Reactions
63 Replies
16K Views
Wakuu kheri ya mwaka mpya in advance I hope Iron will not be tight sana..haha. Straight kwenye mada, kuna huyu mdada niko nae kwenye relationship ya kimapenzi sio kwa mda mrefu sana lkn tumefanya...
5 Reactions
230 Replies
15K Views
wakuu nisaidieni kuna huyu jamaa nafahamiana nae kama mshikaji mtaani sasa kuna manzi mmoja wa mtaani kwao nmebahatika kuwa nae mimi! tatizo linakuja pale binti ananisumbua kwamba jamaa...
1 Reactions
92 Replies
7K Views
Kuna Member Mmoja alishawahi kuleta post kam hii jukwaani la namna ya kupima uwezo wa kufikiri wa Mwanamke sema kwa bahati mbaya hio post nimeshindwa kuiona. Kw mf unataka kupima uwezo wa...
6 Reactions
286 Replies
19K Views
Kwanza kabisa heri ya mwaka mpya wana MMU!!!..na bila kuwachosha ngoja niombe niende moja kwa moja kwenye mada yetu niliyoiweka siku za hivi karibuni. Majuzi kati nilileta mada hapa jukwaani ili...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kataa kubali mwanamke yoyote Yule akiwa GOLIKIPA Lazima mwanaume atakudharau tu. Sio wote. Lakini 89% wapo hivyo. Ukiamka wewe asubuhi ni, kufua, kupika chai,chakula cha mchana, na jioni, Unaoga...
10 Reactions
49 Replies
4K Views
Kweli RAIA mpo fasta aisee hata kuacha siku ipumue,kalenda zijiset vizuri,muda ukae katika mhimili wake,then hata tarehe 3 huko muanze hizi mambo,lakini watu tayari SAA 6 imewakutia juu ya...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Yaani mtu anafanya kusudi tu ili akukomoe, mnaishi kama CCM na CHADEMA, hamna huruma, hela yenu haitoki, alafu ya mwanaume hata kama matumizi sio lazima unafanya ili kukomoa, mnafutia kwenu tu...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna baadhi mnasoma msg hii mkiwa gesti house na michepuko.... Nawakumbusha tu msisahau kuoga na kutoa mijanaba yenu si kila mtu unayengonoka naye ni binadamu wa kawaida.. Wengine ni majini...
49 Reactions
156 Replies
15K Views
Yaaani acheni Kabisa...kila mtu awe mkubwa au mtoto unasalimia kwa Heshima sasa naona imekuwa Kero maana unashindwa kujua yupi ni yupi unaogopa kuharibu profile yako lazima akipita unampa hey! Na...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Habarini wadau, Nimekuwa mhanga wa hii kasumba ya kupenda sana wajawazito yani nikiona mjamzito naweza ahirisha safari na kumpa lifti mpaka anapokwenda afike. mbaya zaidi, natokea kuvutiwa nao...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Nimesikitika sana kuwa miezi kadhaa iliyopita kuna dada mmoja wa humu ndani aliomba msaada. Mimi si tajiri lakini nliona kidogo nlicho nacho ngeweza kushare naye hasa baada ya kuwa amenambia...
40 Reactions
426 Replies
22K Views
Huwezi kujua jinsi ya kupenda kama wewe hujui jinsi ya KUJIPENDA kwanza maana . Mapenzi yanaanza na wewe mwenyewe jinsi unavyojipenda na kujikubali ndio hivyo hivyo na wewe utategemea jinsi ya...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Wakuu muda mrefu nilikuwa nikitamani kuitwa baba , Sasa Nina matumaini mwezi wa Tisa nitaitwa dad, nmempata mwanamke mwenye upendo wa kweli,japo sijui ndani ya moyoni wake mm naona hivo.nipo...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom