TzComedy
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 890
- 700
Ninampenda sana huyu mwana mwali lkn tabia yake ya choyo hasa kwa upande wa chakula inanipelekea nikate tamaa kuendelea nae ukizingatia mimi mwenyewe sijisii amani pale mgeni wa haina yoyote anapofika kwangu akatoka bila kupata chochote kitu.
Kinachoniuma zaidi, yupo tayali aone chakula kinaaribika akakitupe kuliko kuwapa ndugu jamaa na marafiki haliyakuwa wapo wanaotuzunguka kula yao ni ya kulenga kwa manati, eidha nimejitaidi kumuerimisha namna watu wanavyoishi, lkn imeshindikana.
Jee nifanye nini juu ya huyu dada mwenye mkono wa Birika?