Zawadi ya mwaka mpya

Zawadi ya mwaka mpya

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,704
Reaction score
9,079
Wakuu habari ktk kuufurahia mwaka mpya nitatoa zawadi hapa kwa members kumi wa kwanza wataoweka namba zao hapa I prefer Tigo ndo itakuwa rahisi zaidi kazi kwenu
Nb zawadi ni muda was maongezi tzs 10,000 kwa watu 10 itatolewa tar moja
 
Hapa wadada urtawapata wengi tu, tunapenda bure sana wanawake loh?
 
Wakuu msiwe na shaka wote mlioweka mamba zenu zawadi mtazipata tar 1
 
Back
Top Bottom