Kwa wale waliokutana na matukio mkesha wa mwaka mpya 2017

Efendi

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
302
425
Wakuu heri ya mwaka mpya mkesha wa jana mdau mwenzenu nilipata kashkash za hapa na pale ishu yenyewe ilianza hivi jana majira ya saa 5:40 usiku wakati nikitafuta hata kamchuchu cha kutoka naye kwenye mkesha kuna demu wangu mmoja wa zamani mara nyingi huwa hapatikani kwani yapata kama miezi mitatu hatujawasiliana sasa jana kama zari akapatikana kwenye simu tukapanga tukutane ila yeye akadai nimfuate kwao na pikipiki sasa gundu likaanza wakati nakaribia mitaa ya kwao ghafla si ndo mwaka mpya ukaingia mtandao ukawa haupatikani halafu mchuchu kwao sipajui fresh ikabidi nisubili kama dakika 20 ndo nikaweza kuwasiliana naye kimbembe kingine kikaja jinsi alivyokuwa ananielekeza kwao ikawa tofauti mpaka bodaboda akanihisi mimi mwizi bahati tukaweza kuwasiliana nikakutana naye tukaenda bar mpya ambayo imefunguliwa hivi karibuni demu akaanza kuagiza Heineken ya kwanza akapiga ya pili ikabidi nimwite barmaid nimuulize vyumba vipo alichonijibu kuwa upande wa guest bado haijafunguliwa ikabidi nimuambie demu tuame kiwanja demu hataki anadai tubaki palepale mpaka anakubali tuondoke tukatafute room ilikuwa saa nane usiku na pikipiki zilikuwa hamna tukaanza kutembea kufika karibu na guest ghafla nikakutana na watu wamevaa makoti na mapanga ....

Itaendelea baadaye
 
Hahahahaaahahahahaaa.. Alafu ukute hujagonga una miezi kama minne.. Utalia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom