Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nisianzie mbali saaaana wanajamvi wenzangu nimeleta hili jipu mnisaidie kulitumbua kabla halijaiva, maana nikiliacha hadi linitumbukie lenyewe niitakuwa kwny balaa zito....... Nilikuwa kimya kwa...
14 Reactions
153 Replies
15K Views
Habarini za J3, ndugu wapendwa na wadau wote wa jukwaa hili lililotukuka, Katika thread zangu mbali mbali zilizopita kuna baadhi ya maeneo nilikuwa nayatumia ambayo kumbe kwa wadau wengine...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna kitu kinanitatanisha katika ndoa kwamba ni kweli unatakiwa umueleze mkeo mapato yako yote ya mwezi yaani ukipata slip umpe na muanze kupanga matumizi au inafaa kumtamkia tu Mwanamke kuwa...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Nina msichana wangu ambaye tumedumu kwenye mahusiano toka mwaka juzi. Tumezoeana sana na tumependana sana. Mwanzoni nilipoanza naye mahusiano nilimuuliza kama kawahi kugegedwa au la, aliniambia...
1 Reactions
77 Replies
41K Views
Wakuu Hali zenu Straight forwad kwenye mada. Naomba mumsaidie huyu jamaa mwenye mke na mtoto 1. Kama mnavyoelewa msimu huu wa sikukuu watu wengi wameenda makwao kula sikukuu na ndugu jamaa na...
4 Reactions
87 Replies
9K Views
habari wapendwa katika bwana? Ni matumaini yangu kuwa hamjambo,bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja yangu Hivi ñi kwanini ndoa za wazee wetu zilidumu sana na naza vijana wa kileo ni za...
50 Reactions
250 Replies
37K Views
CHUKUA TIPS ZIFUATAZO KUHUSU MAHUSIANO NA NDOA. 1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile unatakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao. 2...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau na wananzengo poleni sana na mikikimikiki ya kuendelea kuzungusha gurudumu la #hapa kazi tu, kwa kweli kwa cku nyingi nimekuwa nawaangalia sana hawa wachunga kondoo wa bwana huko madhabahuni...
13 Reactions
120 Replies
16K Views
J'mosi iliyopita tulialikwa kwny sherehe ya haruc ya mdogo wa rafiki yangu aliyeamua kwa hiyari yake mwnyw tena bila kulazimishwa na mtu.......kuachana na kile chama cha TABU ( Tanzania Bachelor's...
15 Reactions
167 Replies
20K Views
Salamu wakuu Kwanza naomba radhi kwa kuwaandama single mamazi, sina nia mbaya zaidi ya kuelimishana. Miaka kadhaa iliyopita nilifahamia na mdada mmoja hv wa miaka 29, kiukweli alinipita miaka...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Habarini za j2 ndg zangu wapendwa, natumaini tuko poa tunamalizia mapumziko ya mwisho wa wiki huku tukianza kujiandaa kwa kesho kuendelea kuviringishana na hili gurudumu la #hapa kazi...
2 Reactions
46 Replies
10K Views
Ni biashara ya ngono ikiwamo ya jinsia moja Wasichana wazungumza suluba wanazopata Mwanamke mmoja, mkazi wa Mabibo Mwisho, jijini Dar es Salaam, anadaiwa kuanzisha danguro la wasichana na...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Habar zenu.. Niende moja kwa moja kweny point. Wadada wengi siku hizi na vijana wakiume ..baada ya hali yakiuchumi.. Kuwaendea tofauti .. Wameona wajiliwaze na maneno kama Mwanaume machine...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo ghetto Hapa nimeshika tama,nawaza na kuwazua Mimi mtoto wa kiume Ni hivi Nina mwanamke nimezaa nae ,nlikutana nae kipindi nipo Chuo nae ni choka mbaya,nikamlea nikampa mimba ,akafanya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habarini za wakati kama huu wadau wenzangu wa uwanja Wetu huu pendwa, naomba niseme wazi kwamba uzi huu cjauweka hapa ili kukashifu imani ya mtu yeyote, kwa hiyo kwa atakaekwazika anisamehe tu...
2 Reactions
140 Replies
17K Views
Yani I'm so crazy over it! Nikiipata nasahau shida zooote na raha zote zaidi ya hii kitu! Waoto wa mjini wanaita K[emoji274] Wa bush wanaita mbunye[emoji55] Mbele wanaita pusy[emoji125]‍♂️ Uswazi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam kwa ndugu zangu wote, Niwatakie maandalizi mema sana ya mwisho wa mwaka, Ndio ukweli huu kwa wanaume wenzangu wote, ili ufanikiwe katika maisha, uwe na amani furaha maisha marefu, mke...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Nilisoma gazeti moja la udaku likielezea kwamba kuna duka limefunguliwa maeneo ya Posta jijini Dar es salaam .Na kwamba duka hilo linajushughulisha na kuuza bidhaa za kisasa zinazotumika wakati wa...
1 Reactions
19 Replies
17K Views
Kwanza kabla ya yote niombe msamaha kwa wanachama wa CHAPUTA hivi majuzi nlituma Uzi huu "Dawa ya kuacha Nyeto/Punyeto hii Hapa" Kwenye Uzi ule nliwaambia wanachama wenzangu kwamba Mimi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ray C Atoa Kali Ya Mwaka.....Amuomba Rais Magufuli Awabane Wanaume Wanaowachezea Bila Kuwaoa. Msanii Ray C amefunguka na kumuomba Rais Magufuli asaidie kupatikana sheria ambayo itaweza kusaidia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…