Nahisi nikicheza vibaya kwa huyu muumini mwenzangu, basi sio ajabu nikaozea jela

General Galadudu

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,868
2,207
Nisianzie mbali saaaana wanajamvi wenzangu nimeleta hili jipu mnisaidie kulitumbua kabla halijaiva, maana nikiliacha hadi linitumbukie lenyewe niitakuwa kwny balaa zito.......

Nilikuwa kimya kwa muda kdg kutokana na kubanwa na majukumu mengi yakiwemo binafc na ya kiserikali ikiwa ni pamoja na kusafiri hapa na pale ,nimerejea nyumbani kama wiki 3 zilizopita na jumamosi moja nikaenda kusali jumuiya (wakristo dhehebu la RC watakuwa wameelewa zaidi) huko sasa ndo nikakutana na mapya yaliyonileta hapa mbele yenu....

Nilikuta tuna wageni wawili wamehamia kwny jumuiya yetu kutoka nickokujua......mama mmoja na bintiye mmoja mzuri sana alikimbilia umri wa kama miaka 25 hivi, na walionekana kiuchumi wako vzr ,kama ukipata mjuvi wa kuelezea cfa za uzuri wa huyu binti basi anaweza kujaza kitabu,ni mzuri mno....lakini huyu binti alikuwa ni mlemavu wa ngozi......ALBINISM..... cha kushangaza sasa ktk cku hiyo hiyo ya kwanza kuonana na kufahamiana nae ikawa kama vile amenizowea kwa haraka sana, nililigundua hilo kwny muda wa kuondoka eti alipoamua kutucndikiza mi na wife huku akinipigisha story nyiiiiiiingi.

Wiki iliyofuatia kulikuwa na sherehe ya haruc, mwanajumuiya mwenzetu aliamua kuvuta jiko ili awe anagegeda kihalali, cku hiyo wife alikuwa anasumbuliwa sana na tatizo la kuumwa macho kwa hiyo akaniruhusu niende mi mwnyw.....kule ukumbini c nikakutana tena na yule binti....!!swali la kwanza akaniuliza 'mke wako atakuja' nikamwambia hatokuja ana udhuru.....baaaaasi kuanzia hapo akaniganda yeye na mimi.....mimi na yeye.....bia ananiagizia yeye,muda wa chakula akaenda kwny buffet kunichukulia yeye,kwa kweli alinihandle sana hadi nikaanza kuwa na mashaka kwa huo ukarimu wake.....nilishangaa nilipomuona hata yeye pia anakunywa bia!

Hadi muda wa sherehe kumalizika aliniambia hivi 'nimefurahi sana kushika nafac ya mkeo kwa muda japo natamani hali hii ingeendelea hivi,coz nakupenda....akanipiga busu shavuni halafu akaondoka na mama'ke nikabaki nimeganda kama mzoga tu.....

Kiutu uzima nimeshaelewa kwamba huyu anataka kugegedwa,lakini sasa kuna mambo mawili moyoni mwangu yanapingana sana hadi najikuta nashindwa kuelewa nishike lipi niache lipi :-

1....nafc moja inaniambia nimpuuzie na kuachana nae kwa sababu huyu sio mke wa mtu (maana hata nafc yangu huwa inaelewa walio kwny target zangu ni wake za watu)

2.....hii ya pili ambayo nahic inaweza kuibuka kidedea tena kwa ushindi wa kishindo inaniambia nisiwe na roho ya ubinafc na ubaguzi namna hiyo, yule nae ni binadamu ana hisia na ana haki zote za kupenda na kupendwa.....kwa hiyo nimshughulikie!

TATIZO HAPA.....

Lolote linaweza kutokea ndg zangu, lakini ninachokiogopa,hivi nikimkoleza kwny malovee c ataniganda zaidi....hiyo ina maanisha pia atakuwa na wivu wa kupindukia, maana nahic kwny ulimwengu huo atakuwa ni mgeni.... sasa hapo nikimuingilia kwa ile fomesheni yangu adimu kabisa duniani ya 4×4 na 6×7 huku nikichanganya na staili mbili tofauti ile ya kiasili inaitwa 'CHOPWINCHO' na ile ya kisasa inaitwa DRONE's.....atapagawa.....na je cku aje ackie nabinuka na mwanamke mwingine.......jamani c ndo utakuwa mwanzo wa kunishitaki na kunibambikizia kosa la kutaka kumkata kiganja.....kumbe ni wivu tu wa mapenzi, na hata kama nitachomoka kwny hiyo kesi lakini c nitakuwa nimeshasota hata kwa miaka 10 mahabusu kusubiri upelelezi ukamilike.

Nina mengi sana ya kuwaambia kuhusu huyo binti lakini niishie tu hapo nikaribisha wenye utatuzi wa hilo waje tu wanisaidie niko njia panda kabisa.
 
Back
Top Bottom