Hivi mwanamke aliyepata mtoto tofauti na njia ya kawaida labda kwa oparesheni ni sahihi kusema kuwa amezaa?!
NI HIVI:Hapa mtaani wamama wawili wanachambana baada ya mmoja kumtuhumu mwenzie...
Kuna uzi nimeuona ila ghafla siuoni!
Kuna jamaa alikuwa anaomba ushauri anataka kugegeda house gal wake baada ya mkewe kusafiri na kumuacha naye! Nihitaji kumpa ushauri huu hapa chini ila nikaona...
Nimekuwa nikisikia habari nyingi kuhusu bikra lakini sikuziamini kivilee, nilijua mwanamke ni mwanamke haijalishi ukimkuta bikra au vipi ili mradi ana maumbile ya kike basi hakuna kinachoharibika...
Mwanaume unafanyiwa pedicure na manicure, una nyoa kiduku na kupata Vaseline mdomoni. Una begi ndani lina hand lotion, nail cutter, tissue, deodorant na perfume bila kusahau wallet yenye 5,000 ya...
micharuko kila sehemu, ata hakuna pa kutokea!! sijui mi ndo nna gundu.. au ndo hali ilivyo ila lile neno ambalo lipo kwenye kiapo na linasisitizwa sana 'uvumilivu' linachukua nafasi yake!!
aise...
Hatuwezi kuwa mke na mume kabla ya kupitia urafiki. Nimegundua mahusiano mengi yanayoanzia humu yanakufa kifo cha kimya kimya. Watu wanakuja kwa gia ya kutafuta mke au mume kumbe lengo linakua ni...
MAFANIKIO YAKE sio kigezo pekee cha yeye kuwa mke/mume bora.. kuna mengi ya kuangalia zaidi ya mafanikio, uchapakazi wake ama utendaji na sifa alizonazo..
Kumbuka hizo sifa ni za KWAKE yeye.. ana...
Habari wakuu, Mimi ni miongoni mwa kijana ninayeishi nyumba za kkupanga, katika mtaa huu ninao kkaa kuna jirani yangu tulikuwa wote mabachelor juzijuzi tu kaoa ila anammendea mpangaji mwenzangu wa...
Jamani hebu wanaume mkubali kurekebishwa na kukubali mnachoshauriwa,
Wanaume wengi hasa walioko kwenye ndoa wamefuga vitambi,
kwa kweli hili mimi linanikera sana hakuna nguo inayompendeza tumbo...
Hakika kama ni vituko vya wapangaji basi kituko cha mpangaji huyu kimeshinda vituko vyote vya wapangaji, khaaa!!
Hiko hivi, huyu mpangaji mwenzetu ambae ni mwanaume na anamke na watoto...
Ama kweli siku ya kufa Nyani miti yote huteleza. Nlijitahidi sana toka mara ya mwisho nmeenda bagamoyo kumgegeda yule MILF wa kizungu nikasema umri umeenda niache kuchapa bakora wadada na...
Mambo yaameanza upyaaaa. .......
Visa viroja na vijaruba vya Kasie Mahaba.
Diamond kanisema mie mia ya mia laah naweza sema huu wimbo kanitungia Kasinde mie..... nachojishangaa mbona sikomiii...
Kuna mambo mengine kama huna kifua usipende kuyahoji wala kuyajua.
Jamaa yangu ndoa yake ipo ICU sasa, Takriban mwezi mzima sasa hawaongei na mke wake na hivi sasa anafikiria ku-devorce...
Habari wadau,
Nimependa sana kijana Diamond jinsi anavyowatunza wanawake zake
na nimejifunza nizisake kwa nguvu na nimtunze sana mwanamke wangu, maana kuna watu wakiombwa elfu 20 tu wanaanzisha...
Kuna mwanaume anayefanya kazi kwa kujituma na kidogo anachokipata hurejesha nyumbani kwa mkewe ili kuweza timiza matumizi ya lazima kwa ajili ya familia na malezi ya watoto.
Baadhi ya wanawake...
Hili lidada ni maarufu sana kwa picha zake humu JF, FB na hata Insta. Ana umbo balaa ile mbaya. Umbo ni zuri sana. Ila ukizoeana naye kidogo tu hasa akikulenga akaanza urafiki nawe hachelewi...
Habari za Jumapili wana JF,
Nimesafiri nipo maeneo fulani hivi huku Ifakara Upogoroni, nipo kikazi. Kwa kweli wenyeji wangu wamenipokea vizuri sana, iIa naomba mnisaidie kwa yeyote anayejua...
Utasikia shost shemeji yako yuko hapo Arusha ki kazi wiki ya pili sasa hembu muonyeshe mji, hata kama ingekuwa mimi ningekufanyia hivyo hivyo.
Hili ni kosa kubwa kuliko na limeliza wengi. Haina...
Neno la kuuingia nalo mwaka huu mpya.......
“Zamani (siyo mbali miaka ya 90 hivi)dada yako akipata mimba kabla ya kuolewa, anajificha nyumbani hadi ajifungue na washikaji wanakucheka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.