Leo nitatoa ufafanuzi tu......

General Galadudu

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,868
2,200
Habarini za J3, ndugu wapendwa na wadau wote wa jukwaa hili lililotukuka,

Katika thread zangu mbali mbali zilizopita kuna baadhi ya maeneo nilikuwa nayatumia ambayo kumbe kwa wadau wengine yalionekana ni magumu kama vle misamiati ya kichina, maneno kama vile:-CHOPWINCHO....STAILI YA IKIBINDA NKOI.....STAILI KALI YA EKOTIKEE.....STAILI YA 4×4 na 6×7.....FOMESHENI KALI YA DRONE'S (nyingine ambazo sijaziandika mtaongezea).....na nyingine zilizowachanganya.

Leo niulizeni ili niwape ufafanuzi wake na jinsi zinavyotenda kazi......niulize ile tu unayojua niliiandika mimi hata kama ni ya kwenye thread zilizopita nitafafanua.

KARIBUNI.
 
Hivi hii STAILI KALI YA EKOTIKEE sio PUCHU kweli hii eti General Galadudu..nielimishe mzee..alafu ulemrejesho wa shoga wa Mkeo aliyekuvurugia deal kule Hotelini hujaleta Mzee..au mission not accomplished..
 
Style ya mbwa kachoka

Kishingo

Lofombo style

Mserereko

Kiduku

Chuma mboga nk

Zote ulishaga wahi kuziandika hapa jf
 
  • Thanks
Reactions: irk
Style ya
-Mnazi wa mbagala
-Katiba pendekezwa
-Basi la mwendo kasi
-Style ya ukawa
Embu zidadavue na hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom