Mwanaume uliyefunga ndoa na mwanamke, tambua baraka zote zipo kwa mke wako

Midumare Ngatuni Iwato

JF-Expert Member
Jul 13, 2016
1,653
2,038
Salaam kwa ndugu zangu wote,

Niwatakie maandalizi mema sana ya mwisho wa mwaka,

Ndio ukweli huu kwa wanaume wenzangu wote, ili ufanikiwe katika maisha, uwe na amani furaha maisha marefu, mke wako anamchango mkubwa sana wa hayo yote kwakuwa amebeba baraka, amani, neema, upendo mkubwa wa familia yanu.

Nawaomba sana wanaume wenzangu tuwashirikishe sana hawa wake zetu na tuwafanye wawe marafiki zetu wakubwa sana.

Mimi nina kauli mbiu yangu hii; mwanaume akikosa mchepuko ni sawasawa na dalala kutokuwa na na siti, pia namalizia kwa kusema mchepuko unamchapa na elfu tano hili hali mke wako unampa laki mbili.

Karibuni kwa maoni
 
Salaam kwa ndugu zangu wote,niwatakie maandalizi mema sana ya mwisho wa mwaka
Ndio ukweli huu kwa wanaume wenzangu wote,ili ufanikiwe katika maisha,Uwe na amani furaha maisha marefu,mke wako anamchango mkubwa sana wahayo yote kwakuwa amebeba baraka,Amani,neema,upendo mkubwa wa familia yanu
Nawaomba sana wanaume wenzangu tuwashirikishe sana hawa Wake zetu na tuwafanye wawe marafiki zetu wakubwa sana.
Mimi ninakauli mbiu yangu hii,,mwanaume akikosa mchepuko nisawasawa na Dalala kutokuwa na na siti,, pia namalizia kwa kusema Mchepuko unamchapa na elfu tano hili hali Mke wako unampa laki mbili,
Karibuni kwa maoni
Naunga mkono hoja mkuu!

1. Mchepuko ni muhimu
2. Mke wa ndoani muhimu zaidi
3. Mchepuko yupo ili kumsaidia mke wa ndoa yale ambayo yamekuwa magumu kidogo, mchepuko ni kama dada wakazi kwa familia iliyo bize.
 
True kwani unapoa oa na mwenyezi Mungu anakupa baraka zake kwako wewe na mkeo.....mchepuko si dili, ni kuchapa tu kuondoa gundu ila wa kuuhudumia ni mkeo tu. Si mnamuon Hamisa anavyojichanganya, analazimisha kushindana na mtu mwenye hela wakati yeye anachangiwa na watu, kisa anataka kushindana na mwenye mali.
 
Salaam kwa ndugu zangu wote,niwatakie maandalizi mema sana ya mwisho wa mwaka
Ndio ukweli huu kwa wanaume wenzangu wote,ili ufanikiwe katika maisha,Uwe na amani furaha maisha marefu,mke wako anamchango mkubwa sana wahayo yote kwakuwa amebeba baraka,Amani,neema,upendo mkubwa wa familia yanu
Nawaomba sana wanaume wenzangu tuwashirikishe sana hawa Wake zetu na tuwafanye wawe marafiki zetu wakubwa sana.
Mimi ninakauli mbiu yangu hii,,mwanaume akikosa mchepuko nisawasawa na Dalala kutokuwa na na siti,, pia namalizia kwa kusema Mchepuko unamchapa na elfu tano hili hali Mke wako unampa laki mbili,
Karibuni kwa maoni

Katika watu waharibifu wewe unaongoza, umemuhusisha mwanamke wa ndoa na: (baraka,Amani,neema,upendo mkubwa wa familia yanu) Halafu tena una support dhana ya Nyumba ndogo?
 
Hivi nyie wanawake mbona mnajimilikisha kila kitu..
Haya hizo baraka nani kawapa zote???
 
Drama tu hakuna lolote
Kwahiyo wakati nikiwa bachela sikua na baraka?
Mbona mambo yangu yalikua yanaenda mpaka nikapata pesa nikaoa huyo mke?

Yale yale The manipulated man
 
ni kweli, kabla wife hajasafiri, nilikuwa napata hata laki mpaka saa tatu asubui ama zaidi, yaani tangu kasepa mpaka muda huu nina makende tu hapa....hivi namtafuta ktk simu ashukie hata segera arudi aaagh
 
Naunga mkono hoja mkuu!

1. Mchepuko ni muhimu
2. Mke wa ndoani muhimu zaidi
3. Mchepuko yupo ili kumsaidia mke wa ndoa yale ambayo yamekuwa magumu kidogo, mchepuko ni kama dada wakazi kwa familia iliyo bize.
ivi na yeye mke akipata mchepuko anaruhusiwa kukubalika kijamii kama sisi wanaume tunavyowa afiki michepuko yetu?
 
Back
Top Bottom