Shetani Nyeto ulaaniwe Sikupendi

Shetani Nyeto ulaaniwe Sikupendi

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,730
Reaction score
8,807
Kwanza kabla ya yote niombe msamaha kwa wanachama wa CHAPUTA hivi majuzi nlituma Uzi huu "Dawa ya kuacha Nyeto/Punyeto hii Hapa"

Kwenye Uzi ule nliwaambia wanachama wenzangu kwamba Mimi nlikua mwanachama na mjumbe wa kamati kuu kwa miaka 13
Nlipiga hadi goli 5 kwa siku

Nlitembelewa na wife kama wiki 3 sasa,nlikua nae ghetto nkaacha kupiga puli

Jamaniii Leo asubuhi kasepa kurudi kituoni kwake kwa kazi

Ile narudi kumsindikiza nashangaa natamani nyeto si nkapiga goli 2 za fasta

Ama kweli Nyeto mwanaharamu[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji17] [emoji17] [emoji18] ila ntaacha tu nasema shetani nyeto shindwaaaaaaaa kwa jina la Allah na Yesu shindwaaaa[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Hahahaa rudi tu kundini mkuu wanachama wenzako walishajua hutofika popote ndio maana hawajamchagua Wa kukaimu nafasi yako
 
Hivi watoto wakali walivyojaa hivi unapigaje nyeto?
 
Back
Top Bottom