Wakuu heshima kwenu
kesho naelekea arusha kwa gar ya magazet asubh sana so by sa11 ntakuwa nimefka
naomba tujuzane ni bar gan arusha mjin ina watoto wazur ili nisiwe bored ntakpokuwa huko...
Wadau nafikiria baadae niachane na maisha ya ubachela. Lakini kuna kitu bado kinanitatiza nacho ni majukumu ya wanaoishi pamoja kwa faida yao.
Ukweli kabisa mimi najua majukumu mawili nayo ni...
Heri ya mwaka mpya nyote hasa kwa wale ambao sijawatumia jumbe maalum za kuwatakia heri ya mwaka mpya 2018.
Basi mwaka mpya ndo umeanza taratibu tuu bila madoido ya sikuzote ya Kasie...
Kweli sijui huwa mnakuwa na nini baadhi ya wadada, uzungu mwingi utawaponza na tamaa. Kweli hela ni tamu lakini ukiitafuta kwa jasho lako na kama niyakupewa bure basi usigeuze ni haki yako...
Kutoa mahari ni jambo la utamaduni. sio malipo kama wengine wanavyodai ila ni heshima kwa waliomlea mkeo. Sasa nashangaa mtu anadaiwa mahari ya watu ambao hawakuwahi kuwepo au walishafariki. Mfano...
Habarini humu ndani.
Straight to the point.
Kuna jambo moja lilitokea kipindi cha nyuma kidogo nataka kushare na nyie.
kuna rafki yangu mmoja alikuwa na mchumba wake wameshavalishana hadi pete...
Habari zenu wana MMU
nataka ku-share nanyi hii story kwenu ili iwe fundisho,..
Mahali nilipo kuna kaka huwa anapenda kuja maana kuna watu ana mazoea nao na hadi wengine kutaniana, juzi kati...
Heri ya Mwaka Mpya 2018. Wadau imebidi niwashirikishe kisa hiki ili wengine pia tupate jifunza.mara nyingi huwa naandika mikasa humu watu mnahisi chai lakini kweli nawaambia asilimia 87 ya stories...
Hali zenu wanabodi.
Hivi ktk kulinda amani kwa askari wawapo mbali na wenza wao hukidhi wapi hitaji muhimu la kimwili? Ukizingatia mtu anaweza akawa mbali na mwenza miaka miwili.Mazingira pia sio...
Wazima jamani?
Naombeni ushauri nina mzazi mwenzangu tumezaa nae mtoto 1.Hapo nyuma alikua anahudumia tu mtoto wake tangu mi nilipopata mume akabadilika akaanza kutuma meseji za kujua hali ya...
Salam za mwaka wana JF,
Tupo katika mwaka mpya wenye mipango mingi ya mafanikio katika maisha yetu, mbali na hayo kuna jambo muhimu la kuliangalia kwa jicho la tatu(rohoni)
UHURU, uhuru ni...
Hi great thinkers 2018 napenda JF members mjue hili litatusaidia kuwa makini sana.
Mchawi hana uwezo wa kuteteresha uchumi au maendeleo ya mtu direct.Bali yeye hukimbilia kwenye kuharibu ndoa au...
Igweeeeee!
Baada ya safari ndefu ya masomo tena yenye mafanikio makubwa(bachelor degree ya uwalimu wa sanaa 2016) kumalizika na kukaa mtaani kwa muda zaidi mwaka mmoja na nusu nimejikuta...
Wanajamvi nawasalimu sana, natumaini wu wazima wa afya na mmepokea mwaka mpya kwa furaha na amani tuzidi kupambana na hali zetu kwa mwaka huu mpya na Mungu atupe wepesi.
Great thinkers wenzangu...
Jifunzeni u Lady kidogo, Mwanamke kuwa mlevi haipendezi, unakuta mwanamke amekaa anakata Whisky dadadeki kama hana akili nzuri!
Mwanamke raha yake softy softy labda glass ya Dodoma wine kidogo...
LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys Mungu anasema "MY PEOPLE ARE DYING BECAUSE OF LACK OF KNOWLEDGE"
To you all Mamen zijue dalili za Mbebezz anayekuzimia na asiyekuzimia kusudi usije...
Jamani habari zenu.
Ili ndoa idumu ni vizuri ukasoma na kuzijua vema tabia na hulka za mchumba wako.
Watu wengi sana wamejaribu kuchunguzana tabia kabla ya kuoana lkn hawafanikiwi kwa 100%...
EXTRA LIVE STRAIGHT TALK: The Art of RESPECT TO WOMEN
Mambo mengine ni common sense zaidi huhutaji Phd kujua kuwa Wanawake wanakomaa akili na busara kuliko sisi Wanaume so usijidanganye na umri...
Habari wakuu
Tupo ukingoni mwa mwaka 2017, niwatakie mapokezi mema ya mwaka mpya 2018.
Baada ya hayo twende kwenye mada moja kwa moja, aisee hivi wanaume wenzangu na wanawake pia hivi mmeisikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.