Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,730
- 8,807
Nipo ghetto Hapa nimeshika tama,nawaza na kuwazua Mimi mtoto wa kiume
Ni hivi Nina mwanamke nimezaa nae ,nlikutana nae kipindi nipo Chuo nae ni choka mbaya,nikamlea nikampa mimba ,akafanya interview.
Mtoto alipozaliwa mke hakukaa sana akapata kazi ya mshahara mnono
In short wiki yote ya sikukuu nipo nae nami nlikua na kihela changu nlicholipwa kwenye kibarua tukakitumia
Mama mtoto karudi job kwake kamwacha housegirl na mtoto wangu ,alinipa favor ya hela kidogo inisogeze na hii familia coz kwa wakati huu kule kwenye kibarua changu tumesimama so hakuna kazi hadi mwisho wa mwezi huu
Energy ya kupikia imeisha,hela sina naona noma kumwambia huyu mwenzangu ambaye ana uchumi nzuri
Ama kweli hela is a true friend anakuepusha na aibu
Waungwana mwenye uwezo anikopeshe 10000 niongezee na hii yangu nkadake Oryx ,soon ntamrudishia ,kuomba kwa yule mwanamke naona soo tu,wanaume wenzangu mnisaidie nikirudi kibaruani mwisho wa mwezi huu ntailipa hiyo hela please.