Hii imekaaje wadau

choupa moting

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,508
2,554
Habarini za jion?

Mimi ni kijana ambaye naish maisha yangu mwenyewe maana bado sijaoa, nina tatizo moja ambalo kwa muda mrefu nimekua nikiliona ktk maisha yangu toka nimeanza kujitegemea.

Yaan nikiwa sina hela nakua na hamu sana na mwanamke kiasi kwamba ntanyegeka kwel kweli sasa kivumbi kinakuja nikiwa na hela yaan mzee mzima anatulia ndan hata hasomeki, Hisia znapotea. Inafika time mpaka najikagua “hiv kweli nina hisia”


Hii hali inatokana na nini wadau.
 
Amka kijana acha kuifanya Akili yako ifikilie upuuzi mda wote, mda unakwenda huo amka kijana.
 
Imekaa fresh.

Wenzio vichenji tu vinawapa hamu sasa pata picha wanavyomaliza mshahara kwa mambo ya kipuuzi.

Sasa ukiwa umekaa ndani weka mipango sawa, andika business plan flani amazing na ifanyie kazi uanze kimradi chochote.

Good luck.
 
Habarini za jion? Mimi ni kijana ambaye naish maisha yangu mwenyewe maana bado sijaoa, nina tatizo moja ambalo kwa muda mrefu nimekua nikiliona ktk maisha yangu toka nimeanza kujitegemea. Yaan nikiwa sina hela nakua na hamu sana na mwanamke kiasi kwamba ntanyegeka kwel kweli sasa kivumbi kinakuja nikiwa na hela yaan mzee mzima anatulia ndan hata hasomeki, Hisia znapotea. Inafika time mpaka najikagua “hiv kweli nina hisia”
Hii hali inatokana na nini wadau.
Wewe ni mgonjwa nenda kamuone daktari. Unapata vipi 'appetite' wakati huna hela?
 
Mimi nikiwa sina hela ndiyo ninakula na cravings za nyama Choma, supu ya ulimi, mtori, KFC, Subway. Nikita na laki kwenye walet hata Dina maharage na maji ya uhai poa vinashuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom