Wachumba niliowakataa, mchumba wa mwisho

Wachumba niliowakataa, mchumba wa mwisho

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Bwana nyie ni wasumbufu mnapenda maubuyu sana.

Kwani mnadhani nishakuwa na wachumba wangapi? Wale niliowaelezea ndo hao tu watatu niliokuwa na uhakika nao hao wengine ni vibaka tu wa papuchi . siku moja , week tunatawanyika kama kondoo wasio na mchungaji.

Nyie mnaosema tunachagua sana hebu niambieni wapi nilipokosea?
 
Mbona ile namba yako ya voda inayoishia na 75 haipatikan miss
 
hakuna unapokosea kwa kweli sema ndio hivyo tena upo kwenye deceleration
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom