Hivi ni kweli kuna ushirikina au laana katika mambo ya mapenz?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,610
Hivi ni kweli mtu unaweza kulogwa usipate mpenzi pamoja na uzuri au uwezo wa kifedha ulionao?

Au kurogwa sehemu za uzazi kwa me/ke zisifanye kazi kiasi cha kuwapoteza wapenzi wako?

Nimekutana na hivi visa ila siamini wenye uelewa kidogo tusaidieni.

cc mshana jr
 
Omba yasikupate,waasilika wa hayo mambo wanatia huruma sana mkuu....acha tu
 
Hivi ni kweli mtu unaweza kulogwa usipate mpenzi pamoja na uzuri au uwezo wa kifedha ulionao?

Au kurogwa sehemu za uzazi kwa me/ke zisifanye kazi kiasi cha kuwapoteza wapenzi wako?

Nimekutana na hivi visa ila siamini wenye uelewa kidogo tusaidieni.

cc mshana jr
Haahaaa.. Tajirimsomi umekutana na kadhia gani?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kunatatizo sehemu ingawa umeeleza upande mmoja wa shiringi kuhusu uwezo wao wa kiuchumi,
je tabia zao zikoje!!?
Mtu wa kawaida tu elimu kawaida pesa wanazo ni wachakarikaji sura wamejariwa kitabia wako vizur ila kila mwanamke anamkataa anadai hapana laba tuwe marafiki au ndugu au mwingine akitongozwa anadai nilikuchukulia kama ndugu na kukuheshimu hata akikubaliwa mahusiano hayadumu
 
Sio Mimi sema kuna jamaa zangu wana kila kitu ila hawapati kabisa wapenzi
Unajua watu wanashindwa kuelewa......unaweza kuta watu wanaowapata wana watu wao wanaowapenda zaidi when it comes kwenye kuchagua mtu atakaeishi nae kwa furaha na amani unakuta hao rafiki zako wanaachwa!!!

Don't believe too much kwenye witchcraft
 
Hivi inawezekana ikawa kwa kila unayemjaribu anakataa hata wale manunganyembe?
 
Mtu wa kawaida tu elimu kawaida pesa wanazo ni wachakarikaji sura wamejariwa kitabia wako vizur ila kila mwanamke anamkataa anadai hapana laba tuwe marafiki au ndugu au mwingine akitongozwa anadai nilikuchukulia kama ndugu na kukuheshimu hata akikubaliwa mahusiano hayadumu
Kuna mmoja nilidate nae ni mkaka mzuri sana ana elimu yake and a good position kwenye company yao ila ni mtu ambae yupo very busy though alikuwa ananijali sana.......sema ubusy wake ukanichosha nikaona isiwe shida acha niachane nae ya nini kuwa na mtu mara kasafiri akirudi yupo busy na mikazi ya ofisi aliyoacha nikaona nitajichosha nikastep out!!

So waulize sana hao marafiki zako wakuambie ukweli
 
Hivi inawezekana ikawa kwa kila unayemjaribu anakataa hata wale manunganyembe?
Kuna wengine wanakuwa hawajiamini wakiwa na wakaka wazuri kutokana na jinsi walivo wanahisi kama watakuwa na wasichana wengine wazuri na hao labda wapo kwao after sex na wengine ndo kama nilivokuambia.
 
Kuna mmoja nilidate nae ni mkaka mzuri sana ana elimu yake and a good position kwenye company yao ila ni mtu ambae yupo very busy though alikuwa ananijali sana.......sema ubusy wake ukanichosha nikaona isiwe shida acha niachane nae ya nini kuwa na mtu mara kasafiri akirudi yupo busy na mikazi ya ofisi aliyoacha nikaona nitajichosha nikastep out!!

So waulize sana hao marafiki zako wakuambie ukweli
Mhhh point ya ubuzy inaweza kuwa point kwa mahusiano ambayo hayadumu ila kwa kukataliwa kabla je?

Mtu hajawai kuliliwa na mwanamke???
 
Kuna wengine wanakuwa hawajiamini wakiwa na wakaka wazuri kutokana na jinsi walivo wanahisi kama watakuwa na wasichana wengine wazuri na hao labda wapo kwao after sex na wengine ndo kama nilivokuambia.
Hiv hujawai kuona mtu kajariwa kila kitu awe mke au mwanaume ila haoati mwenza?
 
Back
Top Bottom