Anasema ananipenda ile hali alinigomea ndani ya Box

Youngtozy1992

Youngtozy1992

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Messages
1,281
Likes
1,106
Points
280
Age
26
Youngtozy1992

Youngtozy1992

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2016
1,281 1,106 280
Wakuu niende kwenye topic

kuna Demu Mmoja ivi tulikutana nae Maeneo ya chuon yeye ni 1st year tulipanda nae gari moja kwenda chuoni katika kupga stori akaniomba namba nikampa baada ya kushuka kwenye kituo cha daladala kila mtu kaenda zake ila cha ajabu kufikia mida ya saa tatu usiku nikapigiwa simu na namba ngeni kupokea aliepga akajitambulisha kuwa ni dada tuliepanda nae daladala moja kwenda chuon na aliomba nionane nae mda ule...

Basi bana kama kawaida kidume sikuload... nikamwambia tuonane maeneo fulani ivi mda c mrefu akanipgia simu kuwa tayar ameshafika..

Kufika nikamkuta kweli mtoto katupia kigauni kifupi na marashi hatari.. Mashalaah ni mtoto kweli..!

Baada ya baada ya salamu mtoto akaniuliza samahani kakangu kwa usumbufu mda ule sikukumbuka hata kukuulizia hata jina lako nikamwambia usjali mi naitwa. .......

Nawe mwenzangu unaitwa nan akinijibu anaitwa Neema.

Baada ya utambulisho mtoto akaniuliza kk samahan kwa usumbufu room kwako unakaa na nan?
Kwa bahati nzur nilikuwa peke yng siku hyo nikamwambia nipo peke angu
Akaniambia samahn kk wenzangu wameondoka na funguo unaweza kunihifadhi nilale room kwako?..
Nikasema poa!

tukaongozana nae kwenda rom kwngu baada ya mda wa kulala kufka nikamwonesha pakulala nikamwambia mi nataka nikalale kwa jamaa yangu kama kumpima kumbe nilikuwa nazuga ili kupima imani yake atasemaje kwani ninalo shuka moja la kujifunika akaniambia nisijal tutajifunika wote hilo moja
Hapo kimoyomoyo nikajisemea leo nimepata zari sasa tumeingia kulala nikajisemea hii ndo chance mwenzio nikaanza kumpa maneno matamu huku nikimtomasa kwa utundu cha ajabu mtoto hanielewi mara akaanza kulia na kuanza kusema wenzangu wasingenifungia nisingekuja huku kupata taabu hizi ....
Duu hadi nikajikuta napatwa na huruma na kujutia nilichotaka kufanya nikaona isiwe nouma nikamtuliza baada ya yeye kutulia nakurudi kulala

nikamgeuzia mgongo nikapga usingizi hadi kesho yake asubuhi

Ndo nikaskia sauti yake ikinisalimia asubuhi na kuniuliza nimelalaje ndo nikastuka baada ya kuamka nikapga mswaki nayeye nikamchotea maji baada ya kuswaki nikamsindikiza nayeye akaenda zake....
Nakumbuka mida tunatoka washikaji tuliokutana nao walinipongeza kwa kuonekana natoka na chombo kikali room kwangu mida ile kwani walijua nililala nacho
Kudadeki kiroho kiliniuma nikikumbuka kilichonitokea sijalamba kitu...
Nikaamua kudeleta namba yake pale pale na kuendelea na mishe zangu
Sikuwaza kumtafta tena....

Cha ajabu zimepita wiki mbili baada ya lile tukio ma yeye hakuwahi kunipigia wala kunitumia sms
Sasa nashangaa leo amenipigia eti analaumu nimempotezea, mara anaomba nimsamehe kwa yaliotokea....
Sasa hapa simuelewi anataka nini....
Je inaweza kutokea kweli akawa anajutia alichokifanya?
 
D

denis fourplux

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2017
Messages
389
Likes
284
Points
80
D

denis fourplux

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2017
389 284 80
utakua wa dar wew
 
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Messages
12,116
Likes
23,164
Points
280
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2014
12,116 23,164 280
Nina umri wa Mtu mzima afu siyo mwanaume wa Dar....
Kumbe ndio maana. Kama ungekuwa wa dar...... Usingekubali kuchezea akili

Mtu mzima unakubalije kufanyiwa utoto huu?? Mtu mzima unamkaribishaje mtu uliyeonana nae kwa muda mfupi ulale nae??
 
gachuru one

gachuru one

Senior Member
Joined
Oct 31, 2014
Messages
110
Likes
25
Points
45
gachuru one

gachuru one

Senior Member
Joined Oct 31, 2014
110 25 45
OK ngoja waje wataalam watakao kwambia uyo dem anataka nn
 
uwepo

uwepo

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Messages
572
Likes
652
Points
180
Age
25
uwepo

uwepo

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2014
572 652 180
Mkipataga boom akili zenu zinawaza viagra tu
 
samir nassir

samir nassir

Senior Member
Joined
Feb 5, 2017
Messages
186
Likes
155
Points
60
Age
22
samir nassir

samir nassir

Senior Member
Joined Feb 5, 2017
186 155 60
Haiwezekani ndokwanza uonanenae mtu humjui ulalenae istoshe umle papuchi ndokwanza munakutana yani starehe ya dakika moja utajuta maisha yako yote ngoja upate ukimwi nadhani unawaza ngono tu
 
dedon

dedon

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Messages
1,420
Likes
1,692
Points
280
dedon

dedon

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2015
1,420 1,692 280
Nina umri wa Mtu mzima afu siyo mwanaume wa Dar....
wanaume wa dar angekua ashamla na tusingekuja kuomba ushaur wa kis**ge
kwakua ni wa mkoani basi ngoja wenzako wenye mapenz ya kihindi waje kukushauri utakavyomla baada ya miaka 3
 
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
7,064
Likes
8,682
Points
280
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
7,064 8,682 280
Wakuu niende kwenye topic

kuna Demu Mmoja ivi tulikutana nae Maeneo ya chuon yeye ni 1st year tulipanda nae gari moja kwenda chuoni katika kupga stori akaniomba namba nikampa baada ya kushuka kwenye kituo cha daladala kila mtu kaenda zake ila cha ajabu kufikia mida ya saa tatu usiku nikapigiwa simu na namba ngeni kupokea aliepga akajitambulisha kuwa ni dada tuliepanda nae daladala moja kwenda chuon na aliomba nionane nae mda ule...

Basi bana kama kawaida kidume sikuload... nikamwambia tuonane maeneo fulani ivi mda c mrefu akanipgia simu kuwa tayar ameshafika..

Kufika nikamkuta kweli mtoto katupia kigauni kifupi na marashi hatari.. Mashalaah ni mtoto kweli..!

Baada ya baada ya salamu mtoto akaniuliza samahani kakangu kwa usumbufu mda ule sikukumbuka hata kukuulizia hata jina lako nikamwambia usjali mi naitwa. .......

Nawe mwenzangu unaitwa nan akinijibu anaitwa Neema.

Baada ya utambulisho mtoto akaniuliza kk samahan kwa usumbufu room kwako unakaa na nan?
Kwa bahati nzur nilikuwa peke yng siku hyo nikamwambia nipo peke angu
Akaniambia samahn kk wenzangu wameondoka na funguo unaweza kunihifadhi nilale room kwako?..
Nikasema poa!

tukaongozana nae kwenda rom kwngu baada ya mda wa kulala kufka nikamwonesha pakulala nikamwambia mi nataka nikalale kwa jamaa yangu kama kumpima kumbe nilikuwa nazuga ili kupima imani yake atasemaje kwani ninalo shuka moja la kujifunika akaniambia nisijal tutajifunika wote hilo moja
Hapo kimoyomoyo nikajisemea leo nimepata zari sasa tumeingia kulala nikajisemea hii ndo chance mwenzio nikaanza kumpa maneno matamu huku nikimtomasa kwa utundu cha ajabu mtoto hanielewi mara akaanza kulia na kuanza kusema wenzangu wasingenifungia nisingekuja huku kupata taabu hizi ....
Duu hadi nikajikuta napatwa na huruma na kujutia nilichotaka kufanya nikaona isiwe nouma nikamtuliza baada ya yeye kutulia nakurudi kulala

nikamgeuzia mgongo nikapga usingizi hadi kesho yake asubuhi

Ndo nikaskia sauti yake ikinisalimia asubuhi na kuniuliza nimelalaje ndo nikastuka baada ya kuamka nikapga mswaki nayeye nikamchotea maji baada ya kuswaki nikamsindikiza nayeye akaenda zake....
Nakumbuka mida tunatoka washikaji tuliokutana nao walinipongeza kwa kuonekana natoka na chombo kikali room kwangu mida ile kwani walijua nililala nacho
Kudadeki kiroho kiliniuma nikikumbuka kilichonitokea sijalamba kitu...
Nikaamua kudeleta namba yake pale pale na kuendelea na mishe zangu
Sikuwaza kumtafta tena....

Cha ajabu zimepita wiki mbili baada ya lile tukio ma yeye hakuwahi kunipigia wala kunitumia sms
Sasa nashangaa leo amenipigia eti analaumu nimempotezea, mara anaomba nimsamehe kwa yaliotokea....
Sasa hapa simuelewi anataka nini....
Je inaweza kutokea kweli akawa anajutia alichokifanya?
Kama ni kweli basi huyo binti harudi tena kwako kuja kulala hadi amekuja kwako alishajiandaa kwa yote toka kwako
NB;sihamishi uzinzi tafadhali
 
Forum statistics

Threads 1,237,985
Members 475,809
Posts 29,308,807