Matukio yaliyokiki 2017 kwa Ufupi

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,705
14,600
Yaliyojiri 2017

January-Chuma Kinachaji Betri

February
Mapenzi Mubasharaaaaa
List ya wauza unga✍

March
Bashite
Nape OUT

April
Naliamsha Dude
Roma ametekwa na kupatikana akiwa salama. Hajafanywa chochote

May-Kibiti

June-Makinikia

July
William arudisha mamilioni ya ESCROW
Mara paaap vichwa 13 vya Treni havina mwenyewe

August
Utatoa hutoi?
Sikumbuki lakini vimekaza!

September
Tundu Lee Sue
Diamond & Hamisa….Zilipendwa

October
Dogo Janja afanya maujanja
900 itapendeza

November-Lulu…miaka miwili itapendeza⚖

December
Expansion Joint
Seya tutoke wotee
Wekeni Grisi

2018...... utajaza

KIKI IPI ILIKUVUTIA ZAIDI?!

 
Nitakutana, nitasalimiana na kuongea na Mh. Magufuli :D:D:D
Raisi ambaye anafurahisha kwa utendaji wake.. na haijawahi kutokea nchini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom