Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salam wakuu, Nimebwaga manyanga ya kujihusisha na mapenzi hadi hapo takapo ona wakati wa kuoa umewadia. Hii sector nimwachie mtaalam #GuDume nadhani anaimudu sana. Nini kimefanya nibwage...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Mimi navyojua mwanamke aliyekubali kulala na mtu ambae si mume wake ni mwanamke aliyekosa staha na busara sana na hafai hata ukiendelea kua nae unafuga ugonjwa moyoni ambao baadae waweza kua ni...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Nimekuwa nikinywa pombe mfululizo, majuzi mke wangu akanifumania mitaa ya Goba nikiwa nagonga nyapu(jirani yetu) kwenye gari akachukua picha kama ushahidi, mimi nikiwa bwaksi kabisa. Mke kapeleka...
1 Reactions
90 Replies
7K Views
Wakuu kama Title inavyojieleza,nimeanzisha uzi huu mahususi kwa wanaJF wenye Vibamia tukutane hapa tushauriane ni mambo gani ya kuzingatia kuondokana na tatizo hili. Ni changamoto gani...
15 Reactions
151 Replies
30K Views
Habari wadau wana jf. <br /><br />Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Huu ni wito kwa Mabinti wote wa first year Katika vyuo vikuu na vocational trainings ambao wameeingia kwenye uhuru wa Kujisimamia baada ya Kumaliza Secondary School. Mimi nimeoa na nina mke na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni asilimia ngapi ya wadada humu wanawachagua manaume wakimya si waongeaji na wangapi wanawachagua wanaume wacheshi waongeji. kama choice zao na kwa nini?
1 Reactions
81 Replies
26K Views
Habari wana JF, Kuna kitu najiuliza hivi huu ujasiri tunaupata wapi wa kupiga collabo. Sometimes inatokea unajua kabisa mwanamke ana mtu wake lakini unanunua hisa kidogo iliupate gawiwo kidogo...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Rafiki yangu anatafuta wachumba anasema yeye kigezo chake ni hicho tu wawe mapacha atawaoa wote na ana uwezo wa kuwatunza wala wasiwe na shaka ni hayo tu wadau,kama mpo humu au umesikia popote...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
TUNAJIFUNZA NINI? (1- Wanawake) Kwa asili kabisa toka uumbaji, Mwenyezi MUNGU aligawa majukumu. Mwanaume alipewa MAMLAKA na mwanamke alipewa jukumu la USAIDIZI. Ukweli mchungu ni kuwa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana JF Niende moja kwa moja kwenye mada, wanaume tupeane pole kila tulipo, hawa wake zetu hawa tuwaacheni hivi hivi walivyo. Leo nimekutana na mkasa wa kusikitisha, niseme tu wazi kuwa...
9 Reactions
37 Replies
9K Views
Huu utafiti ni 95% true Wanawake wengi miaka 30 na kuendelea ndo wanapoanza kufaidi tendo la kusex na hamu inaongezeka. Wanawake walio kwenye umri huu kama hawana watu wa kushiriki nao wengi wao...
15 Reactions
343 Replies
22K Views
Hello Napenda kutumia nafasi hii kutafuta msichana mzuri na mrembo mwenye sifa zifuatazo: 01: umri miaka 18-30 02: elimu kuanzia form 4 mpaka bachelor degree. 03: dini awe mkristo 04: awe mrefu...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Salam, Niingie tu moja kwa moja kwenye mada, kwanza naomba niseme tu hili swala linamuhusu rafiki yangu ambaye ameshare experience na mimi na sio kwamba anaomba ushauri. Hawa jamaa zangu...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Wanajamvi mpoo? Ukitaka kujua ubaya wa ngono jaribu kuwaza umeshapima sasa unangojea majibu. Juzi niliamua kucherk afya sikutaka kwenda hospital wala kwa washauri nasaha. Niliamua kununua...
10 Reactions
164 Replies
13K Views
tulikua tukitongoza dem wakatiwakufanya yalemambo walikua wanainamatu chupizao zilikua zimetobolewa ktkt hakunakuvua yote. ukimtongoza lazima ajenamwezake gharama zote zako walivaa andasket...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kenneth Pinyan, kifo kupitia farasi... Pinyan alikuwa mhandisi wa Shirika la Uundaji ndege la Boeing, akiishi nje ya Jiji la Seattle. Baada ya kazi, ilikuwa ni kawaida kwake kutembelea shambani...
4 Reactions
39 Replies
14K Views
Poleni na majukumu mbalimbali mimi ni mwanamke wa miaka 33 looking for an investor who will be willing to invest in my small business im planning to start . Najua sisi binadamu tumeumbiwa kukosoa...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Vimeo: Watch, upload, and share HD and 4K videos with no ads
1 Reactions
0 Replies
551 Views
Wapendwa wana bodi naomba kujuzwa hapo, maana nimeisikia hii kwa watu wawili. Imekaaje hii?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom