Mwanamme mkimya wa nini? Si bora niishi na librarian tena humo humo Library.
Ntaku PM namba ya Mbiga Mbweguke wa clouds kabisa.
Ni asilimia ngapi ya wadada humu wanawachagua manaume wakimya si waongeaji na wangapi wanawachagua wanaume wacheshi waongeji.
kama choice zao na kwa nini?
Ntaku PM namba ya Mbiga Mbweguke wa clouds kabisa.
Mie nampenda muongeaji ili nisiwe na bajeti ya kununua redio!