LINI MWISHO KUM- "DO" MKE WANGU AKIBEBA MIMBA.??

baba love afo

Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
7
Reaction score
2
Habari wadau wana jf.

Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika kwa kudra za mwenyezi Mungu mke wangu atabeba ujauzito.

Ikifika hapo sasa sijui nitaendelea kucheza naye mpaka atakapokuwa na mimba ya miezi mingapi ili nimwache apumzike???
Ushauri wadau.

Unapendelea kutumia tu Mpaka atakapo karibia kujifungua but unatakiwa kuwa makini hasa kwenye sex position.

Life expectance imeshuka mno kiasi siku hizi vijana hawawakuti mababu wa kukaa nao kwenye vikome!!!!

Siku moja kabla ya kujifungua, tena akiwa mvivu kufanya mazoezi msaidie wewe kwa kumpelekea moto.

Life expectance imeshuka mno kiasi siku hizi vijana hawawakuti mababu wa kukaa nao kwenye vikome!!!!
Kizazi cha dot com na vikome wapi na wapi? Ni zaidi ya mlongo mmoja sasa impact ya vikome imepotea.
Habari wadau wana jf.

Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika kwa kudra za mwenyezi Mungu mke wangu atabeba ujauzito.

Ikifika hapo sasa sijui nitaendelea kucheza naye mpaka atakapokuwa na mimba ya miezi mingapi ili nimwache apumzike???
Ushauri wadau.

Habari wadau wana jf.

Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika kwa kudra za mwenyezi Mungu mke wangu atabeba ujauzito.

Ikifika hapo sasa sijui nitaendelea kucheza naye mpaka atakapokuwa na mimba ya miezi mingapi ili nimwache apumzike???
Ushauri wadau.
Kaka had ifiki week moja anakaribia kujifungua ndyo umuache

Pole saana mkuu kwa kutolijua hilo, i hope huudhurii clinic na mkeo.(au ndio unajiandaa kutia mimba?)

Turudi kwa swali: mzeeiya hakuna kikomo baba , piga nyama mpaka miezi tisa hakuna shida (as per somo la dokta wa Lugalo hospital)

Haina madhara , pia wabasema inasaidia kurahisisha kujifungua, njia inakua ipo njema kabisaa.

Pia inasemekana kipindi cha ujauzito hawa wenzetu wanakua hot sana, sasa usipopiga nyama sijui nini kitatokea.

Zingatia: position mtakazotumia, na kasi unayotumia, ukijifanya unataka iwake moto ujue ndio utaharibu, tafadhali piga kistaarabu

Kumbe hata kuoa hujaoa!

Oa kwanza, utajulia mbele kwa mbele!!

Hahahaaa. Unawaza kuvuna wakati hata kupanda bado. Mmh.

• Thanks
Reactions: BAK
Habari wadau wana jf.

Leo naomba ushauri wa kiafya kwenu wadau. Kuna jambo linanitatiza, naelekea kuoa mwisho wa mwaka huu lakin inabid nijiandae maana najiamin kuwa muda huo ukifika kwa kudra za mwenyezi Mungu mke wangu atabeba ujauzito.

Ikifika hapo sasa sijui nitaendelea kucheza naye mpaka atakapokuwa na mimba ya miezi mingapi ili nimwache apumzike???
Ushauri wadau.
hata siku moja kabla ya kujifungua! inaruhusiwa, muhimu uingie kistaarabu kulegeza njia!

Back
Top Bottom