Oxygen gas
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 247
- 237
Salam wakuu,
Nimebwaga manyanga ya kujihusisha na mapenzi hadi hapo takapo ona wakati wa kuoa umewadia. Hii sector nimwachie mtaalam [HASHTAG]#GuDume[/HASHTAG] nadhani anaimudu sana.
Nini kimefanya nibwage manyanga jibu ni Mwanamke.
Wakuu nakumbuka miaka mitatu imepita nilikumbwa na mkasa ambao sitokuja kusahau katika maisha yangu.
Nakumbuka nilihamia shule moja Mkoani kanda ya magharibi, kipindi nikiwa kidato cha tatu. Nilipowasili shuleni nilibahatika kupata manzi wa kizaramo ambae alinizingua kunikubalia pindi tu nilipomtongoza kwani alidai yeye ni bikra hivyo hataki kujihusisha na love.
Siku zilisonga kwakuwa nilikuwa najiweza darani dem alinifuata mwenyewe na kuanzisha mahusiano rasimi.
Hakika nilimpenda sana tena sana kitu ambacho kilinifanya kupoteza muda mwingi kumfikiria yeye hadi kusahau kusoma na kuvunja ratiba zangu za kujisomea nyumbani.
Jamaa nzangu walinisihi na kuniambia kuwa dem hana sikendo ya mahusiano na mtu yoyote tangu waanze nae masomo "Chekechea" hadi kufikia kidato cha nne. Hii ilinipa moyo sana na kujisifu hakika nimepata mrembo wa darasa ambae vijana wengi walisota kumsaka pasipo mafanikio.
Timbwili la Asha ngedere lilianza kipindi tunakaribia kupiga mock exams. Nakumbuka ilikuwa sikukuu ya Iddy siku hiyo manzi akaniambia simu yake imezima charge hivyo atanicheki mida ya baadae kidogo.
Jioni anampigia rafiki yangu simu kuwa anaomba nafasi kwenye geto langu amepata mgeni kaka yake ambae kaja kuwasilimia kwao na hakuna nafasi ya kulala. Nilishituka sana na kuwaza kivipi huyu manzi anaomba nafasi ya kaka yake getoni mwangu aje kulala? Ilinibidi nikubali kishingo upande tu, jamaa akaja kulala.
Lakini chakushangaza brother wake ananiambia walikutana na huyu manzi siku hiyo kuanzia saa 8 mchana hadi saa 10 jioni. Kwakuwa nilijua ni kaka yake sikumaind hata kidogo.
Ngoja niifupishe maana tawachosha wakuu wangu.
Kiufupi huyu manzi alinidanganya kuwa huyu brother wake ni Mwanasheria kumbe ni mhuni wa kutupa. Kwamasikitiko makubwa sana ambayo yananifanya nisale kila muda ni PALE ALIPOAMUA KUNILETEA DUME LAKE LIJE KULALA KWANGU HUKU NIKIJUA NI SHEMEJI YANGU KUMBE WOTE TUNAFUKUZIA SHIMO MOJA.
Ilikuwa kipindi tunapiga mock exams ndio nilijua kuwa huyu manzi anamahusiano na huyu broo. USIOMBE NIZAIDI YA MAUMIVU, nilifanya mtihani huku akili inawaka moto lakini nashukuru nilipasua vyema huo mtihani kwa kiwango kikubwa sana hasa ukizingatia shule zetu za ST KAYUMBA.
Aliniomba msamaa nikamkubalia tukaendeleza mahusiano na kuniahidi kunipenda sana. MSINIONE MJINGA KUMSAMEHE HUYU MANZI NI KWASABABU NILIKUWA SIJALAMBA PAPUCHI YAKE.
Baada ya muda nilihama hapo na kuludi home baadae nilisikia amekamatwa akielekea kwa mwanaume hapo ndio nikasema MWANAMKE YOYOTE YULE HANA NAFASI KATIKA MAISHA YANGU, maana huyu manzi kaniwekea sumu.
Ushauri kwa ujumla
Kwa wale ambao bado tunasoma tuachane na hawa viumbe tutaharibu malengo yetu. MAPENZI NI JEHANAMU NDOGO HASA PALE YAKIKUKUTA KAMA YALIYONIKUTA UNAWEZA KUTAMANI KUPOTEA DUNIANI.....
VIJANA TUPIGE KAZI MUDA NDIO HUU, WAKATI HUWA HAURUDI NYUMA.
THE TIME OF LOVE IS APPROACHING TO ZERO LET ME END HERE, AND AT OTHER DAYS I WILL SEE WHICH MY HEART WANTS