Kwa wanawake 30+ tu wasio na wapenzi

Kwa wanawake 30+ tu wasio na wapenzi

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Huu utafiti ni 95% true
Wanawake wengi miaka 30 na kuendelea ndo wanapoanza kufaidi tendo la kusex na hamu inaongezeka.

Wanawake walio kwenye umri huu kama hawana watu wa kushiriki nao wengi wao wanapenda kufanya punyeto au kuangalia picha za ngono. Sasa nauliza kipi bora? Kuzini au kufanya punyeto na kuangalia picha chafu?

Kumbuka wanawake wote hawawezi kuolewa maana wapo wengi.
 
Back
Top Bottom