moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Wanajamvi mpoo?
Ukitaka kujua ubaya wa ngono jaribu kuwaza umeshapima sasa unangojea majibu.
Juzi niliamua kucherk afya sikutaka kwenda hospital wala kwa washauri nasaha.
Niliamua kununua vipimo ili nikajipime mwenyewe home.
Nilipofika home nikajitoboa nikamimina damu kwenye kipimio nikaweka na vile vimaji nikakihifadhi mahali ili kungoja majibu.
Baada ya dakika 5 nikasogea nilipoweka kipimo ili nione majibu.
Hofu ikanizidi nikashindwa kuangalia.
Nikarudia tena hali ikawa ilele ila safari hii mapigo ya moyo yakawa juu zaidi hasa nikikumbuka vile nisivyopenda kutumia kinga.
Mwisho nikajikaza nikasoma! wow wow! Majibu ni negative nikapiga kelele kwa sauti.
Kwa aliyewahi kupima tupeane uzoefu ilikuwaje wakati wa kupokea majibu?
Karibuni.