Baada ya kuwa katika mgogoro mzito wa kifamilia (uliyonihusu mimi kuwa na wanawake wengine), aliyekua dada yetu wa kazi akawa ananifariji shemeji yake.
Dada huyu nililetewa kijijini na mama yangu...
Ametoka kazini amepitia kwa mchepuko huko anapikiwa chapati za nazi na mchicha uliochanganywa na carrots, shurti kutengenezewa wrap. Haiishii hapo nawekewa maji ya kuoga na upande wa khanga na...
Bwana Yesu asifiwe wapendwa!!!! Hongereni na majukumu./
>>Napenda leo nifafanue jambo hili maana NDOA nyingi zimekua na shida na wengi hawajui kama ameolewa na mwanamme au mume,,,au kaoa...
Familia moja ya watu weusi nchini Uingereza wamepata mtoto mzungu lakini hakuna aliyelaumu kuhusu kuzaliwa mtoto mzungu, na wote wanafuraha na kudai hakuna aliyechepuka kwa kuwa wote wana aminiana...
Siku kama ya leo ndio siku ambayo mahusiano yangu na binti mmoja kuanza kuyumba na hatimaye kuvunjika kabisa akiniiacha nikiwa na majonzi lakini nashukuru baada ya muda fulani alikuja kuniomba...
Vipi mambo,
Hawa wanachuo wenye kuvaa vizuri si wanafaa kabisa kwa ndoa? Maana nimeona kuna baadhi watulivu kweli yani, vipi nichumbie au nikaushe maana mimi sio muongo muongo nataka nioe kabisa...
Habari za jioni wandugu wote humu ndani.Baada ya pilika zote za kutafuta mwenza wa maisha hatimae nimeangukia Kwa bint wa kisambaa kutoka Kauzeni Maramba Tanga.
Nilikotoka ilikuwa vita ya...
Guantanamera maana yake ni mwanamke toka Guantánamo, ......
neno hilo linaasili ya Spanish, Jose Mart alitunga mashairi ya wimbo wenye Jina hilo mwaka 1966.
Mashairi ya wimbo huo yametumika sana...
Salaam,
Niliachana na mpenzi wangu kwa maneno na matusi makubwa, mpaka kufikia hatua nilimsusa mke pamoja na mtoto bila kutoa matumizi ya aina yeyote yapata miaka miwili 2 na miezi kama 4 hivi...
Wanawake ambao bado hawajaolewa, wenye umri kati ya miaka 25 na 29 nchini China wamekosoa vyombo vya habari nchini humo kwa kile wanachokiita unyanyapaa dhidi yao. Vyombo vya habari vimekuwa na...
Naomba msaada,
Wanaume na kama nakosea mnisamehe, mimi ni mwanamke nimeolewa ila mume wangu ni kama mke wangu yaani mimi ni mume wake, amekuwa na tabia hizi hajishughulishi na familia yake yaani...
Kama title inavyosema, kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano.
Kaniambia kuwa...
Habari wakuu,
Kuna tatizo moja linalowatafuna hawa ndugu zetu wenye pesa nyingi nalo ni majukumu kuwa mengi na kutokana na magonjwa wanashindwa kuwafikisha wenzi wao kileleni hivyo kuwaachia wake...
Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie...
Hii tabia ya baadhi ya wanawake ya kupenda kupiga mizinga ilihali ukimuomba papuchi ananuna ina kera sanaaa
Unapenda kupokea lakini hupendi kutoa?
Kama ni hivyo katafute mwenyewe kwa jasho lako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.