Wenye vibamia Special Thread:Wenye vibamia wote tukutane hapa

Wenye vibamia Special Thread:Wenye vibamia wote tukutane hapa

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
Wakuu kama Title inavyojieleza,nimeanzisha uzi huu mahususi kwa wanaJF wenye Vibamia tukutane hapa tushauriane ni mambo gani ya kuzingatia kuondokana na tatizo hili.

Ni changamoto gani unapitia,na ni aibu gani ilikukuta kutokana na kibamia ulichonacho?
images-2-jpg.640836
Naanza mimi kueleza kwa kifupi:

Kuna binti fulani mtaani Ukonga nilikuwa na mwelewa sana aisee,na nilishatumia mbinu nyingi sana kumpata ila still ilishindikana.Sasa kuna siku binti alisikia kuwa nimefaulu kwenda chuo kikuu hivyo akaona muda ndio huu sasa tuanze kugawana hela za Mkopo,binti akaanza kunitafuta kuniulizia hadi nyumbani kwa mama na kwa bahati mbaya akanipata na ndio akaanza kufunguka kuwa alikuwa ananifikiria hivyo sasa yupo tayari kuwa na mimi maishani ila nisimchezee maana ananipenda kweli.Nikaona mungu huyu anipe nini tena Deadbody maana toto ndio hilo limejileta.

Tuliendelea na mapenzi yetu mpaka siku ya kunitunuku Tunda takatifu.Sitasahau siku ya tukio hili!

Nilifadhaika sana pale nilipotoa mashine kwa ajili ya kazi na gafla binti akasimama kwa mshangao na kuanza kucheka🙁🙁🙁🙁🙁

MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA HIVYO NIMEAMUA KUFUNGUKA KWA STYLE HII

Karibuni!
 
Hahahaahhahaha nimecheka sanaa, umewaza nini kuleta uzi wa hivi? Ila naamini kila kitu kinakuja kwa purpose, mkijiona bamia zenu ni tatizo na kweli mtakua tatizo, ila mjifikirie ktk njia positive ndo mtazishinda izo stress... poleni sanaa wakuu.
 
Back
Top Bottom