Kichwa jinajieleza tafadhali,naomba kujua nini maana hasa ya kuishi na mwanamke kwa akili!??? Ni kwa jinsi gani unaishi na mwanamke kwa akili?
mods msifute Uzi wangu tafadhali
Jamaa mmoja amekuwa mkali zaidi ya pilipili baada ya mpenzi wake aliyekua nae kwenye mahusiano muda ambao sio mrefu sana kuendekeza tabia ya kumpiga vizinga, jamaa anasema alishampa huyo dada...
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm, Diva amesema kwa sasa haangalii tena ukubwa wa mahari bali anachohitaji ni mapenzi ya kweli.
Kipindi cha nyuma mtangazaji huyo alikaririwa...
Ulinunua nyeusi ya ngozi ulisoma inaedana na nguo nyingi. Hizi umenunuabya brown, leo hii umeona nyeupe umeapa lazima uipate. Bado ile ya chui chuo ulimuona nayo shost akakwambia alinunua Dubai...
Hivi kuna ambae alipata mpenzi kupitia mitandao hasa kama WhatsApp groups na facebook na akadumu nae kwa upendo wa dhati?
Naombeni uzoefu wenu wa kubwa maana kunabinti kanipenda kulitia WhatsApp...
Nina umri wa kutosha kuoa mpaka ndugu na jamaa wananishangaa kwanini? Sioi kwa ufupi ilitokea nikampenda sana binti mmoja nilimpenda miaka 2002 tulikuwa pamoja tukisaidiana kwa mengi mpaka familia...
Katika makuzi yangu,mpaka namaliza elimu yangu ya sekondari ya kawaida,nilikuwa na akili moja,kwamba mwanamke yoyote unayemtaka kimahusiano au kingono,ukimuelezea hisia zako,atakuelewa na...
Huwa najiuliza ivi watu wanapataga wapi taariza za ndani kwa ndani kati ya wewe na mpenzi wako.
Nazungumza hivoo kwa sababu mtu unashangaa siri za ndani tena chumbani kati ya wewe na mkeo au...
Mimi nlikua mvivu balaa
1) mende akiingia ndani nlikua siangaiki nae namuacha ale jeuri yake..hamalizi siku mbili bila kumkuta kafa
2) sikuwai kupika wala kua na jiko
3)nikianua nguo nlikua...
Watoto wanakua na suruali, masharti, kaptula, t-shirts, magauni na pyajama wanaziacha kila mwaka.
Unapeleka wapi nguo hizo? Kuna watu hawapendi kuolewa masalia, ndiyo maana ya kuuliza
Habari zenu waungwana.
Ukweli ni kwamba kwa mapenzi ya sasa hakuna hata mmoja aliekua mkweli kwa mwenzake watu wote ni waongo anaejiona anapenda kwa dhati huyo kaingia cha kike.
Niko na Story...
Ukiwa kama mtoto utachukua maamuzi gani wazazi wako wakiwa wanagombana hadharani? Utakua upande upi,
Au utawagombeza kama watoto? Au ndo utabofya batani ya kuyeya/kusepa uende zako mtaani...
Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha British Columbia, Canada wamedai kunusa nguo ya mpenzi wako aliye mbali nawe huweza saidia kupunguza mkazo (stress) kwa maana wanawake wana mfumo mzuri wa kunusa...
Juzi nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja ambaye tupo naye ofisini na ikatokea kumbe ana mdate dada mmoja hapa hapa kazini.actually ni sisi wachache tunajua jambo hilo. huyu jamaa hali yake...
Amani ya Bwana iwe nanyi enyi watu wa Mungu!
basi tukiwa bado tunatafakari kauli ya mheshimiwa Trump kuhusu bara la Africa na watu wake,ningependa kushare nanyi huu mkasa wangu.
ways back kama...
Duniani kuna aina mbili za watu .Wa kwanza ni yule aliye mkimya na wa pili ni yule muongeaji. Hawa wanajulikana kama introvert na extrovert. Introvert ni mtu ambaye katika kikundi cha watu huwa...
Habari wanabodi
Siku hizi kumekuwa na tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wengi ukiangalia mabango mengi kwenye nguzo za umeme wanazungumzia dawa ya nguvu za kiume,wamama...
Ni hivi... Nimeajiriwa katika taasisi ambayo imepakana na taasisi nyingine karibu. Ndani ya taasisi yetu kuna Canteen ambapo huwa tunajipatia chai na chakula cha mchana. Sasa kwa siku za karibuni...