Wadada na wamama mnahitaji hand bags ngapi

Wadada na wamama mnahitaji hand bags ngapi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Ulinunua nyeusi ya ngozi ulisoma inaedana na nguo nyingi. Hizi umenunuabya brown, leo hii umeona nyeupe umeapa lazima uipate. Bado ile ya chui chuo ulimuona nayo shost akakwambia alinunua Dubai, umemwomba akienda tena akuletee na wewe kama ile.

Kabati la nguo limejaa hand bags wala humfikirii mume wako kuwa pia analihitaji. Nyumba yenyewe mnayoishi ni chumba na sebule.

Unataka kuwa na handbags ngapi ili ufahamu kuwa zinatosha?
K60K603673_005_main
 
Wanafanya collection, wengine manunuzi ndiyo yanakuwa mazuri kuliko matumiziya handbag.

Mimi Bi Zuhra mara nyingine tunaenda sehemu anakuwa hana hata makubwa mtoto wa watu, mimi ndiye naanza kiherehere, "umeliona hili la Italian leather la dessigner nani sijui? hili si common".

Akipenda anachukua.

Juzi nimemuonesha Michael Kors namuangaliakama atapenda nimchukulie,kakataa kwa sababu hayana nini nini sijui (she is so picky).

Nikasema poa.

Kwa hiyo wengine tunawanunulia sisi na kuwasakizia kwa kufurahia, lakini si wote.
 
mpo wachche wa kuchungulia na torch!hongera
 
Mimi ninazo 3. Nanunuaga natumia nagawa. Hizi mbili zenyewe nataka kugawa nshaagiza zingine hizi naona zinakula nafasi kanyumba kenyewe kadogo.
 
Wanawake wana tamaa sana, wapo so emotional and not logical............. Akifanya kitu ama kusema kitu mwanamke kisikilize Mara 2.............. Usipojua hii theory unaweza kuwaona wanawake wote hawafai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom