Hivi walimwengu wanajuaje siri za ndani kati ya wewe na mpenzi wako?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Huwa najiuliza ivi watu wanapataga wapi taariza za ndani kwa ndani kati ya wewe na mpenzi wako.

Nazungumza hivoo kwa sababu mtu unashangaa siri za ndani tena chumbani kati ya wewe na mkeo au mumeo watu wanazijua.

Ni wapi watu huwa wanatoa data kuhusu maisha ya watu
 
inawezekana mmoja wenu anayasema kwa makusudi au kwa bahati mbaya
au wanawapigia chabo

ila usijali mate
 
Kama ni habari za kugombana na mnakaa uswahilini huenda ikawa hata dirishani watu wanatega sikio na kusikiliza mnavyogombana we na mwenzi wako.

Na kama ni za kuhusu maumbile yenu na kasoro zenu za ndani basi huenda ikawa mmoja wenu ndio anayamwaga huko nje.
 
Mkuu wewe acha tu.

Mi nakupa hii njia, nenda kwenye uwanja wa mpira wa eneo ulilopo usiku mida ya kama saa saba au nane.

Kata gogo.

Kesho yake saa 12 hivi nenda kanunue vitafunwa kwa wale wamama halafu sema hivi...

"Mama Mwashabani naomba kalmati tano, halafu watu wengine sijui wakoje eti wamekata gogo pale uwanjani" nakuhakikishia jibu lake litakua hili..

"Eeeh jamani MSELA WA MANZESE si wewe kwani unadhani nani hajui?"
 
Watu wenye elimu ya ndoa wakiwaangalia tu wanaweza kuelewa ndani nani mwenye sauti nani mwenye uwezo nani msemaji kama kuna mvivu kitandani na mengineyo mengi
 
Wengine ni kupitia watoto, kuna maza mtaani ana ki duka basi watoto wakienda nunua huanza kuuliza ulaji wa nyumbani, kama kuna ugomvi wa familia, upuuzi mwingine mwingi

wengine huvizia madirishani kufatilia yanayo jili, ila kubwa lazima mmoja wenu anayasema kwa kujua ama kutojua
 
Siri hutunzwa na watu watatu tuu. Tena itakua siri ikiwa watu wawili miongon mwahao watatu watakua wamekufa !!

Hamna siri kati ya Demu najamaa .... Hapa nazungumzia mahusiano yyoteeeee ambayo hayajathibitishwa nandoa ukiwa nipamoja nakuishi namwanamke au mwanamme bila ndoa yaan "Njoo tuishi" .( Yaaan hapa niwachache nawanaojielewa sanaaaaaaaa hufaulu ilo)

Lkn pia Ukiona mwanamme na MWANAMKE walooana kindoa kabisaaaa ,alafu siri zao zipo nje basi kuna haya mambo;-

Mwanamme anachepuka ,sasa akiwa kwamchepuko anamwaga siri zoteeeeeeeeee nje .
Mwanamke anachepuka sasa akiwa najamaa anampa siri zoteeeeeeeeeee.
Mwanamke anamakundi ya marafiki kwaiyo wakikaaa kila mmoja anataka kujua yamwenzake yandani.
Mwanamme nichapombe ( simnajua MTU anayekunywa pombe ,akiwa kalewa Akil huziweka pembem)sasa siri anatoa kwa rafikizo akiwa kalewa.
MARAFIKI WANAFIKI ,,wakati mwingine Unatafuta ushauri kwamty kuhusu hali yamke/mume wako ...sasa kimbembe nikwauyo ulomuomba ushauri mweeeeeeeeeeeee
Beki tatu /msaidizi wakazi awe ndugu au lah ( asipokua na akili ,basi amini nakuambia hata Miguno anayotoa mkeo ,IPO siku utasikia mtaani wanazungumzi)

Mkuuu kwaufupi , SIRI ITABAKI KUA NIYAMTU MMOJA TU ,NASIRI NI KM "SENSE" IVI ......KAMWE SIRI HUWEZI KUIWEK KTK MZANI MMOJA NA "MAUHUSIANO".

Siri itabaki kua siri ..Mahusiano yatabaki kua mahusiano !!.

Nimshukuru Mungu ,siku yaleo nimeimaliza vzuri !!.
 
Chabo mkuu uswahilini kuna chabo hatari nimekuwa nikisikia siri za ndani za jirani zangu nikaamua kufanya utafiti kimya kimya siku nikambana dogo mmoja aliyekuwa anamsema mama mmoja hiv mambo yake ndani ndipo nilipobaini huwa wanapita madrishani usiku wanapiga chabo aliniambia mpaka mtandao mzima wa chabo unaongozwa na nani na wanafanyaje .
 
jaribu kuchunguza kwa kina kati yako na mpnz wako /iliutambue nani n traitor
 
ME kuanzisha uzi kama huu inaleta ukakasi...

Be a Maiin Bddy!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom